Pikipiki ya bajaj ct-100 inauzwa

toa maelezo zaidi, i.e ina mda gani toka inunuliwe? imesajiliwa? imelipiwa bima etc?, ni yako au wewe ni dalali? weka picha, pia uko wp?
 
Niko dar.nitaweka photo ya reg yake. Bima iko vizuri ila road licence itakuwa inakwisha katikati ya mwezi huu.
 
hujajibu swali la msingi, ina mda gani toka ununue na vp ilishawah kupata ajali yoyote, nasubiri picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom