Pikipiki ya ajabu yaonekana Temeke

mbona sijaelewa mmeniacha kidogo.. sasa inajiendesha yenyewe au?? ajabu yake ni nini haswa bado hamjaniweka sawa
 
mbona sijaelewa mmeniacha kidogo.. sasa inajiendesha yenyewe au?? ajabu yake ni nini haswa bado hamjaniweka sawa
Ajabu yake wanadai mtu atakae kuichukua hugeula chizi pia polisi wanapiga chenga kwenda itoa
 
Acheni kuamini ushirikina, enyi watu hiyo ni dalili ya kusumbuliwa na umasikini na ujinga.
HAKUNA UCHAWI DUNIANI mwenye uwezo aje hapa aniroge.
 
Back
Top Bottom