Pikipiki ndogo aina ya scooter, honda

Mar 29, 2017
42
26
Habari zenu ndugu zangu..natumaini wote ni wazima. Nilikua nataka kujua original price za scooter na honda (pikipiki flani hvi ndogo ambzo mara nyingi wahindi wa posta na wa kariakoo wanapnda sana kuvitumia, na vipo vya rangi mbalimbali. Na pia kama zipo used znauzwa sehemu si mbaya ukantajia location yake ili siku niweze kwnda kuzicheki. Na pia kwa zanzibar bei zake ziko vpi pmja na ghrma za ushuru wa huko endpo ikitokea bei ya huko ikawa nafuu. Mawazo yenu plzz
 
Back
Top Bottom