Pikipiki Kinglion

m.k

Senior Member
Apr 3, 2015
101
130
habarini wanajamvi!Ni miezi mitano toka nmenunua pikipiki aina ya kinglion hivi karibuni imekuwa na tatizo la kukatika kwa ring na baadae kugonga engine nimesha badilisha block mara mbili naomba mwenyewe ujuzi anisaidie hili tatizo linasababishwa na nini na nifanyeje?
 
Naikubali sana hiyo mashine. nimekaa nayo kama miezi 12 haikuwahi kuwa na tatizo lolote na ilikuwa inapiga mzigo wa maana, kwa maana ya kazi nyingi, mizigo na umbali mrefu kwenye rough road kabla ya kuamua kuiuza wakati nimemaliza mishe zangu, tatizo kubwa naloliona kwako ni oil, hukuwa makini kwenye kubadilisha oil, hicho ndo chanzo cha tatizo lako. kwenye sehemu ya kubadilishia oil wameonesha unatakiwa kubadilisha kila baada ya umbali flani, ulifanya hivyo?
 
Nimelizingatia hilo kilometa 1000 lakini chini ya hata hapo nilikuwa natoa naweka oil mpya
 
Naikubali sana hiyo mashine. nimekaa nayo kama miezi 12 haikuwahi kuwa na tatizo lolote na ilikuwa inapiga mzigo wa maana, kwa maana ya kazi nyingi, mizigo na umbali mrefu kwenye rough road kabla ya kuamua kuiuza wakati nimemaliza mishe zangu, tatizo kubwa naloliona kwako ni oil, hukuwa makini kwenye kubadilisha oil, hicho ndo chanzo cha tatizo lako. kwenye sehemu ya kubadilishia oil wameonesha unatakiwa kubadilisha kila baada ya umbali flani, ulifanya hivyo?
Nimekuwa nikibadilisha oil chini ya kilometa 1000 nimeweka block na cylinder mpya lakini wapi plz nini kingine cha kuangalia ili kuikoa pikipiki yangu
 
Back
Top Bottom