Pikipiki inauzwa

pikipiki aina ya fekon ipo katika hali nzuri,ime2mika miez 4 bei m1.
Anaehtaj ani pm

Haipungui bei mkuu? mimi nipo Arusha hapa vipi nauli ya kutoka arusha mpaka huko pm ni shilingi ngapi maana sijasafiri mda mrefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom