Pigo kwa Zitto na Lissu, EU yaipa Tanzania billion 132

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,884
22,601
Barozi wa EU hapa nchini Manfred Fanti amesema umoja wa ulaya unalidhishwa na kazi kubwa na nzuri amabayo serkali ya awamu ya tano ya rais magufuli inatekeleza kwa kuwaletetea maendeleo watanzani na kuruhusu umoja huo kuruhusu billion 132 zilizokuwa zimezuiwa kufika nchini haraka

Mr Fanti ambaye alimtembelea mh .rais ikulu Leo amesema kuwa EU inaipongeza serkali ya Tanzania kwa kuwajali wananchi na kuwaletea maendeleo

Mbali na kurusuhu mapesa hayo pia wametangaza mpango mpya wa miaka saba wa kuisaidia bajeti ya Tanzania unaoanza na bajeti ya 2020/2021

My take

Acheni kusikiliza kelele za wapinzani ,dunia nzima inajua kuwa tupo katika njia sahihi
Screenshot_20200205-193405.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe tunaendeleza kutembeza bakuli kwa wahisani afu tunadai tunaendesha miradibya maendeleo kwa fedha zetu za ndani wenyewe.. hehehe

kikwete alitembeza bakuli kila mahali naona magu naye amerithishwa tabia za omba omba... huku tunawahita mabeberu siasa za ccm bana za kitoto
 
Sasa
Barozi wa EU hapa nchini Manfred Fanti amesema umoja wa ulaya unalidhishwa na kazi kubwa na nzuri amabayo serkali ya awamu ya tano ya rais magufuli inatekeleza kwa kuwaletetea maendeleo watanzani na kuruhusu umoja huo kuruhusu billion 132 zilizokuwa zimezuiwa kufika nchini haraka

Mr Fanti ambaye alimtembelea mh .rais ikulu Leo amesema kuwa EU inaipongeza serkali ya Tanzania kwa kuwajali wananchi na kuwaletea maendeleo

My take

Acheni kusikiliza kelele za wapinzani ,dunia nzima inajua kuwa tupo katika njia sahihi View attachment 1347641

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom