Pigo kwa Zitto na Lissu, EU yaipa Tanzania billion 132

Kama hivyo ndivyo tupunguze kuwapa majina yenye lengo la kuwakashfu.
Leo unawasifia kwakuwa wamekupa hela.
Kesho wakitukosoa unawaita "Mabeberu".
Ni utoto na kukosa shukrani
Wana CCM wengi wamekuwa na tabia na kauli kama makahaba. Kahaba ukim 'chapa' na kumpa mshiko wake safi atakusifia majina yote, dear, sweet, handsome hadi Buzi.
Sasa umalize uanze longolongo sijui nikitoka bank, jioni utakuwa wapi nikuletee nk nk utaipata matusi yake. Fala, mshamba, kibamia nk nk.
Ndivyo walivyo CCM ya sasa.
 
Barozi wa EU hapa nchini Manfred Fanti amesema umoja wa ulaya unalidhishwa na kazi kubwa na nzuri amabayo serkali ya awamu ya tano ya rais magufuli inatekeleza kwa kuwaletetea maendeleo watanzani na kuruhusu umoja huo kuruhusu billion 132 zilizokuwa zimezuiwa kufika nchini haraka

Mr Fanti ambaye alimtembelea mh .rais ikulu Leo amesema kuwa EU inaipongeza serkali ya Tanzania kwa kuwajali wananchi na kuwaletea maendeleo

Mbali na kurusuhu mapesa hayo pia wametangaza mpango mpya wa miaka saba wa kuisaidia bajeti ya Tanzania unaoanza na bajeti ya 2020/2021

My take

Acheni kusikiliza kelele za wapinzani ,dunia nzima inajua kuwa tupo katika njia sahihi View attachment 1347641

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapenda kumbe vya Ma Beberu.
Kumbe nyie ndio Mashoga bana

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Hata hao US watalegea tu,tunaowajua hawatupi shida
Kuna kipindi balozi wa marekani alikua mchungaji Charles Stith,huyu bwana alikua akienda Zanzibar anachukua,safari za ndani anatumia taxi,anafanya mwenyewe semina kwa wapiga kura jinsi ya kuikataa ccm
Aliposhindwa vibaya akaandika ripoti,kuwa serikali ya Muungano ndio nuksi,
Vilitembea vitisho na machapisho kuhusu haki za binadamu mpaka leo kimyaa
 
Nzuri sana, utendaji kazi wa Magufuli unakubalika kote bila ya yeye kwenda kuwapigia magoti.
 
Barozi wa EU hapa nchini Manfred Fanti amesema umoja wa ulaya unalidhishwa na kazi kubwa na nzuri amabayo serkali ya awamu ya tano ya rais magufuli inatekeleza kwa kuwaletetea maendeleo watanzani na kuruhusu umoja huo kuruhusu billion 132 zilizokuwa zimezuiwa kufika nchini haraka

Mr Fanti ambaye alimtembelea mh .rais ikulu Leo amesema kuwa EU inaipongeza serkali ya Tanzania kwa kuwajali wananchi na kuwaletea maendeleo

Mbali na kurusuhu mapesa hayo pia wametangaza mpango mpya wa miaka saba wa kuisaidia bajeti ya Tanzania unaoanza na bajeti ya 2020/2021

My take

Acheni kusikiliza kelele za wapinzani ,dunia nzima inajua kuwa tupo katika njia sahihi View attachment 1347641

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo gao EU wanapata nn

Zitu na lissu wameshikwaje??

Beberu kashampanda jiwe sio??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo balozi kaenda kupiga picha tu hata profesa Thomson nae alikuja hivihivi mpaka tukaahidiwa Noah kwa kila mtanzania.
HAHAHA KAMA NI KWELI HILO SIO PIGO TUU KWA MH. TUNDU LISSU NA ZITTO. PIA NI PIGO KWANGU IMENIUMA SANA KAMA NI KWELI
 
Anzeni na hao mashoga anaopiga nao picha Makonda!
Hayo hapo
1580649251135.jpeg
1580685980451.jpeg
FB_IMG_1578313238547.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barozi wa EU hapa nchini Manfred Fanti amesema umoja wa ulaya unalidhishwa na kazi kubwa na nzuri amabayo serkali ya awamu ya tano ya rais magufuli inatekeleza kwa kuwaletetea maendeleo watanzani na kuruhusu umoja huo kuruhusu billion 132 zilizokuwa zimezuiwa kufika nchini haraka

Mr Fanti ambaye alimtembelea mh .rais ikulu Leo amesema kuwa EU inaipongeza serkali ya Tanzania kwa kuwajali wananchi na kuwaletea maendeleo

Mbali na kurusuhu mapesa hayo pia wametangaza mpango mpya wa miaka saba wa kuisaidia bajeti ya Tanzania unaoanza na bajeti ya 2020/2021

My take

Acheni kusikiliza kelele za wapinzani ,dunia nzima inajua kuwa tupo katika njia sahihi View attachment 1347641

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa leo nimeelewa kwanini Nigel Farage ndani ya bunge la EU alikuwa akimuita raisi wa EU kuwa ni dictator and anti democrat.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hao mabeberu mnaowahubiri enyi CCM ni wapi na hizo hela za ndani ambazo mlisema mtafanyia maendeleo n ziiipi??.
 
Pesa hizo zilizokuwa zimezuiliwa......
Barozi wa EU hapa nchini Manfred Fanti amesema umoja wa ulaya unalidhishwa na kazi kubwa na nzuri amabayo serkali ya awamu ya tano ya rais magufuli inatekeleza kwa kuwaletetea maendeleo watanzani na kuruhusu umoja huo kuruhusu billion 132 zilizokuwa zimezuiwa kufika nchini haraka

Mr Fanti ambaye alimtembelea mh .rais ikulu Leo amesema kuwa EU inaipongeza serkali ya Tanzania kwa kuwajali wananchi na kuwaletea maendeleo

Mbali na kurusuhu mapesa hayo pia wametangaza mpango mpya wa miaka saba wa kuisaidia bajeti ya Tanzania unaoanza na bajeti ya 2020/2021

My take

Acheni kusikiliza kelele za wapinzani ,dunia nzima inajua kuwa tupo katika njia sahihi View attachment 1347641

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barozi wa EU hapa nchini Manfred Fanti amesema umoja wa ulaya unalidhishwa na kazi kubwa na nzuri amabayo serkali ya awamu ya tano ya rais magufuli inatekeleza kwa kuwaletetea maendeleo watanzani na kuruhusu umoja huo kuruhusu billion 132 zilizokuwa zimezuiwa kufika nchini haraka

Mr Fanti ambaye alimtembelea mh .rais ikulu Leo amesema kuwa EU inaipongeza serkali ya Tanzania kwa kuwajali wananchi na kuwaletea maendeleo

Mbali na kurusuhu mapesa hayo pia wametangaza mpango mpya wa miaka saba wa kuisaidia bajeti ya Tanzania unaoanza na bajeti ya 2020/2021

My take

Acheni kusikiliza kelele za wapinzani ,dunia nzima inajua kuwa tupo katika njia sahihi View attachment 1347641

Sent using Jamii Forums mobile app

“BAROZI”?

Aisee your Kiswahili skills are in ICU!

Ile trilioni ya elimu ya watoto imetoka?

Ikitoka njoo toa uzi!

Until then,keep on eating shit!
 
Back
Top Bottom