Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,326
- 5,264
hata akiwa nazo zitazaidia kuokoa chama?kaf inashindana na sisiem kufaina maana Mtatiro hakuwa na back up ya documents zake?
hata akiwa nazo zitazaidia kuokoa chama?kaf inashindana na sisiem kufaina maana Mtatiro hakuwa na back up ya documents zake?
Miaka Yote hamsini bado tunarudi nyuma hata reli na viwanda tulivyo vikuta vimekufa kama sio wizi ni nini? Halafu Kifo chenu kinawadia endapo yule mwamba wa kaskazini lowassa mtamzuia kuchukua form japo ubavu huo hamnaWamemwibia nani mkuu , wewe bado ni kijana acha kuropoka
maiti zimetoroka mochwari
Miaka Yote hamsini bado tunarudi nyuma hata reli na viwanda tulivyo vikuta vimekufa kama sio wizi ni nini? Halafu Kifo chenu kinawadia endapo yule mwamba wa kaskazini lowassa mtamzuia kuchukua form japo ubavu huo hamna
Mkuu huyo mwamba wenu yaani EL nasikie kuna MoU kati yake na cdm
Hawa viongozi wa kuamka hawa acha wamalizike .KAFU ina dhambi kubwa mno kama Mrema .Waliwapa watanzania matumaini lakini wameishia kuamsha sasa.Laana tuulah
Atakuwaje mwamba wetu wakati yupo CCM jaribuni kumgusa awafute kwenye historia ya siasa
acha mambo usio yajuwa cuf itabaki kuwa cuf na uamsho ni vitu viwili tofauti wala havihusiani uamsho inapigania z'bar huru cuf sera yao serakali tatu au lina wachoma hili la uamsho kudai maslahi ya z'bar ndio mnalitupia mabaya lakini juwa siku zinahesabika za muunganoRest in Peace CUF aka Uamsho
Na Shibuda je?
Katika ule muendelezo WA kuangamia kwa chama cha wananchi CUF almaarufu Ngangari, Uongozi WA Sekretarieti ya Vijana Taifa ya chama hicho Bara imejiuzulu rasmi hapo tar.08-06-2012.
Waliojiuzulu ni pamoja na Mwenyekiti wao MHE. Mohamed Babu, Naibu Katibu Mkuu WA Sekretarieti Bara MHE. Abubakar Kitogo, Mkurugenzi WA Fedha MHE. Maulid Said, Mkurugenzi WA Mafunzo na Mausiano Vijana MHE. Dalia Majid, Mkurugenzi WA Mipango na Uchaguzi MHE. Grace Mgumba.
Wengine ni Wajumbe WA Sekretarieti hiyo ambao ni Mussa Mbarouk (Diwani CUF - Tanga), Daalin Mlenga na Asumini Maringo Shayo.
Hili ni pigo jingine kubwa kwa Oganaizesheni hiyo HASA ukizingatia MIEZI michache aliyekuwa Mkurugenzi WA Sanaa na Utamaduni MHE. Omar Costantine kujiuzulu na kuhamia chama kipya cha ADC.
Tukio hili limetokea sambamba na Naibu Katibu Mkuu Bara MHE. Julius Mtatiro akiwa safarini kikazi mkoani Arusha kupoteza Laptop na nyaraka nyingine muhimu za chama.
Ndani ya Laptop hiyo kulikuwepo na MPANGO MKAKATI WA CHAMA TAIFA 2013/2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao WA 2015.
Same source.
Monoama mbonyi? Jaribuni kumtimua Shibuda kama watanzania hawataanza kusema hapo zamani kulikuwa na chama kinaitwa chademaSibuda ndani CDM hana madhara kumfukuza ni Dakika moja tuu na hana cheo chochote lakini Lowassa ndani ya CCM ni mwamba ambao hautingishiki madhara yake hata kaburi la ccm halitaonekana
Laana ya kusapoti uchomaji wa makanisa zanzibar,si unaona hapo kwenye red?Katika ule muendelezo WA kuangamia kwa chama cha wananchi CUF almaarufu Ngangari, Uongozi WA Sekretarieti ya Vijana Taifa ya chama hicho Bara imejiuzulu rasmi hapo tar.08-06-2012.
Waliojiuzulu ni pamoja na Mwenyekiti wao MHE. Mohamed Babu, Naibu Katibu Mkuu WA Sekretarieti Bara MHE. Abubakar Kitogo, Mkurugenzi WA Fedha MHE. Maulid Said, Mkurugenzi WA Mafunzo na Mausiano Vijana MHE. Dalia Majid, Mkurugenzi WA Mipango na Uchaguzi MHE. Grace Mgumba.
Wengine ni Wajumbe WA Sekretarieti hiyo ambao ni Mussa Mbarouk (Diwani CUF - Tanga), Daalin Mlenga na Asumini Maringo Shayo.
Hili ni pigo jingine kubwa kwa Oganaizesheni hiyo HASA ukizingatia MIEZI michache aliyekuwa Mkurugenzi WA Sanaa na Utamaduni MHE. Omar Costantine kujiuzulu na kuhamia chama kipya cha ADC.
Tukio hili limetokea sambamba na Naibu Katibu Mkuu Bara MHE. Julius Mtatiro akiwa safarini kikazi mkoani Arusha kupoteza Laptop na nyaraka nyingine muhimu za chama.
Ndani ya Laptop hiyo kulikuwepo na MPANGO MKAKATI WA CHAMA TAIFA 2013/2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao WA 2015.
Same source.
maiti zimetoroka mochwari
wWamemwibia nani mkuu , wewe bado ni kijana acha kuropoka
Huku ni mwanzo wa kufa kwa chama cha wananchi CUF? Au kuna usanii unaendelea hapo? jamani Bazazi! haelewi iwapo kuna mpangokazi wa kuihuisha CUF kwa viongozi waliopo sasa kwa kukosa mvuto wajiuzulu kuwapisha wengine au ndio njia moja ya makaburini (Kama ni makaburini kiwasalimie PONA, CCJ, nk).
Bazazi ni Bazazi