Pigania Kuwakomboa Mafisadi Unufaike Sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pigania Kuwakomboa Mafisadi Unufaike Sasa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Omutwale, Apr 29, 2009.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2009
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Somaiya: Mama Simba, Mimi mesikia ile statement yako. Iko safi saana. Ile Mengi iko chemsa chemsha kabisa kabisa. Iko kumbuka Mama; mimi nilipatia wewe 400M wakati ya kugombea UWT, yeye (Mengi) ilipatia wewe 20M tu. Sasa mimi mewekea wewe another 400M kwa ile ile kaunti yako natumia kila mara.

  Mama Simba akajibu: Mengi is nothing hata JK hamfagilii wala haitaji support yake.

  Kisha kwa kiwewe cha bingo ya 400M (just for saying few stupid words before seminar participants and being publicized through media) Mama Simba akawapigia simu watu wake wa karibu. Miongoni mwao ni Mkuchika

  Mama Simba: Mzee, mwenzio jana nsha make. Yale maneno yangu ya kumkandia Mengi si umeyasikia kwenye vyombo vya habari?! Unaweza kuyathamanisha na kitu gani au fedha Sh ngapi?

  Mkuchika: Aaagh mbona waandhishi waliyaweka ki-mtaa zaidi na yakaonekana kama mipasho na kukosa mvuto na heshima

  Mama Simba akajibu: kalagha bao na heshima, mwenzio nime-make 400M in those few words! Somaiya kashafanya mambo nasubiri na hao wanne wengine waliotajwa.

  Mkuchika: Eeeghegheeghe unasema kweli?! Duh ebu nami nifanye faster niwapate watu wa media nami “nipande mbegu” yangu nione “nitavuna nini”

  …………………Ndg mwandishi nataka nikwambie Mengi ni mwehu tu. Lakini tunamshughulikia msiwe na wasi.

  Kilichofuata:
  200M was deposited to Mkuchika’s bank account followed by loading unlimited voucher to his mobile number. This was done by Shivacom.

  Na habari imeishia hapo. Kwa mujibu wa chanzo changu ni ya Ukweli na Uhakika.
   
  Last edited: Apr 30, 2009
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Huyu Sophia Simba hastahili kabisa kuwa waziri wa utawala bora kwani hana maadili ya kuongoza ofisi hiyo kwa hulka na pia tabia yake; aliwaibia maji DAWASCO wakamfichia mambo yake, kanunua uenyekiti wa UWT kwa kuhonga wajumbe na ushahidi ulikuwepo lakini muungwana akawaanachekecheka tu!! Kwa hili la MAFISADI PAPA yeye kama waziri wa utawala bora alitakiwa kushuhulikia tuhuma za hawa mafisadi badala ya kumshambulia Mengi!! Afande Kova anahimiza wananchi na sera za POLISI SHIRIKISHI , wananchi kuisaidia polisi kufichua wahalifu na hivyo ndio Mengi alivyofanya.Sophia Simba anadhani wahalifu ni vibaka waiba kuku na wakwapuaji simu tu,hapana hata hii mibaka uchumi wetu ni mihalifu inastahili kushuhulikiwa!!
   
 3. M

  Monie Member

  #3
  Apr 29, 2009
  Joined: Sep 22, 2007
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Mama Sophia kapewa mshiko wa nguvu. Serikali inahimiza kama tuna jua wahalifu, watumia na wauza dawa ya kulevya, wala rushwa, na mafisadi tuwataje yeye anadai nana kampa Mengi mamlaka ya kuwataja mafisadi papa? hajua serikali ilishatoa ruksa hiyo siku nyingi? Tunapoambiwa turipoti wanaua maalbino na wahalifu wengine yeye yuko wapi haelewi sera za serikali yake ambayo na yeye yumo ndani kama kiongozi? Haoni kwamba anadhoofisha juhudi za raisi za kupambana na mafisadi na anaogopesha watu wengine wanaojua wahalifu waogope kuwataja? Pole pole mama naona wewe ndio umechemsha.
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,671
  Likes Received: 21,902
  Trophy Points: 280
  Katikati ya jiji kulikuwa na maongezi ya siri ya simu kati ya RA na mchangiaji mzuri wa forum moja maarufu sana.
  RA; Sasa vipi huko kijiweni kwenu mambo yanaendaje? mbona huleti taarifa kulikoni?
  Game The-Ory (mchangiaji): Kwanza shikamoo sana bwana. oh! sorry, mzee, huku usijali napambana sana, Wakitoa hoja nzito za kuwakandamiza wewe na wenzio mapapa naha...
  RA: nini? mapapa? nawewe unatuita hivyo! pumbavu ngedere we! ........
  Game The-Ory; Oh! sorry sana baba yangu, uwi! haya mabishano huku kwenye kijiwe yataniharibu hata nikuite majina...,nilikuwa nataka kusema huwa naharibu hoja zao nzito kuwahusu ninyi kwa kuingiza pumba hadi wanachukia,kwi kwikwi! umeona hiyo mzee?
  RA: Ok Ok endelea kuvuruga mijadala yao na kunitetea kwa nguvu moja, Top up allowance imeongezeka kwa laki 1 kwa mwezi..
  Game The-Ory; Aah mzee yaani kazi yote ile...
  RA: Kelele wewe! hujui mko wengi? 40% ya viongozi wakubwa wote wanasubiri mshiko huo huo, huoni ni zaidi ya bajeti ya wizara ile ndogo.........
   
 5. M

  Mmongolilomo Senior Member

  #5
  Apr 29, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tunahitaji kiongozi mwehu kama sankoro
   
 6. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  We Chakaza umechakaza mbavu zangu mwe!
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Apr 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Subiri huyo GT hakusikie ndio utajuwa kwa nini mpaka leo kuku anapekuwa... teh teh teh teh teh.....!
   
 8. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,671
  Likes Received: 21,902
  Trophy Points: 280
  Atakuwa ananionea mie nilikuwa naota tuu, PASTER, hata ndoto mtu unahukumiwa?
   
Loading...