Piga, ua garagaza. Lazima niwe Rais wa awamu ya tano

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Nimekitumikia chama changu kwa uaminifu mkubwa sana kwa miaka mingi sasa. Watu wenye wivu na maendeleo yangu wametumia kila mbinu kunichafua mbele ya watanzania. Lakini kwa nguvu za mungu hawata weza. Mimi ni muumini mzuri, tena sichagui kanisa katika kufanya ibada. Ni mtu wa watu, natoa harambee nyingi kuchangia miradi ya jamii hasa makanisa. Lakini imefikia wakati ajadiliwa, ajenda kubwa kila kona wabaya wangu wanataka nifukuzwe uanachama. Naamini, hata kama nikifukuzwa. Uwezo wa kuanzisha chama changu cha siasa ninao. Iwe isiwe, mbio za urais zijazo lazima nishiriki, iwe kwa chama hiki, au kile nitakachokianzisha baada ya kufukuzwa. Najua kwenye jamvi hili wapo watakaonitukana kwa sababu wengine akili zao zimepinda kama upinde wa mvua. Lakini kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji...Watu wangu hoyeee. Chama chetu hoyee, Chama changu hoyeeee. Ahsanteni sana.
 
Kuna chama cha Mateja (ccm) ila sio ccm ilioko madarakani ungejiunga nao ningefurahi sana!
 
Nimekitumikia chama changu kwa uaminifu mkubwa sana kwa miaka mingi sasa. Watu wenye wivu na maendeleo yangu wametumia kila mbinu kunichafua mbele ya watanzania. Lakini kwa nguvu za mungu hawata weza. Mimi ni muumini mzuri, tena sichagui kanisa katika kufanya ibada. Ni mtu wa watu, natoa harambee nyingi kuchangia miradi ya jamii hasa makanisa. Lakini imefikia wakati ajadiliwa, ajenda kubwa kila kona wabaya wangu wanataka nifukuzwe uanachama. Naamini, hata kama nikifukuzwa. Uwezo wa kuanzisha chama changu cha siasa ninao. Iwe isiwe, mbio za urais zijazo lazima nishiriki, iwe kwa chama hiki, au kile nitakachokianzisha baada ya kufukuzwa. Najua kwenye jamvi hili wapo watakaonitukana kwa sababu wengine akili zao zimepinda kama upinde wa mvua. Lakini kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji...Watu wangu hoyeee. Chama chetu hoyee, Chama changu hoyeeee. Ahsanteni sana.

Mbona mnapenda sana kumtania Lowasa?
 
Wewe ni bonge la mpiga debe wa Manvi!! Itabidi ajinyonge kwani Urais atausikia kwenye bomba tu!!
 
Ruksa kugombea wewe si ni mtanzania bana! Ila kumbuka kuchaguliwa au kutokuchaguliwa ni siri ya mpigakura.
 
Mkuu nakutakia kila la kheri. Nakuomba usije ukanisahau kwenye ufalme wako.
 
Kitu cha kwanza, wana jf wote watakaoniunga mkono nikifanikiwa kuwa raisi. Watapata horse za SCANIA, Trela watajitegemea.
 
Nimekitumikia chama changu kwa uaminifu mkubwa sana kwa miaka mingi sasa. Watu wenye wivu na maendeleo yangu wametumia kila mbinu kunichafua mbele ya watanzania. Lakini kwa nguvu za mungu hawata weza. Mimi ni muumini mzuri, tena sichagui kanisa katika kufanya ibada. Ni mtu wa watu, natoa harambee nyingi kuchangia miradi ya jamii hasa makanisa. Lakini imefikia wakati ajadiliwa, ajenda kubwa kila kona wabaya wangu wanataka nifukuzwe uanachama. Naamini, hata kama nikifukuzwa. Uwezo wa kuanzisha chama changu cha siasa ninao. Iwe isiwe, mbio za urais zijazo lazima nishiriki, iwe kwa chama hiki, au kile nitakachokianzisha baada ya kufukuzwa. Najua kwenye jamvi hili wapo watakaonitukana kwa sababu wengine akili zao zimepinda kama upinde wa mvua. Lakini kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji...Watu wangu hoyeee. Chama chetu hoyee, Chama changu hoyeeee. Ahsanteni sana.

Na kwa vile kwa sasa hakuna aneykushinda kwa kushinda katika makanisa mbalimbali kila weekend, ukianzia na Nigeria, Yombo Vituka na juzi Mwanza, urais unakunukia. Lakini ni urais wa mafisadi, siyo kuongoza dola kama ambavyo umekuwa ukitamani. Kwanza hatuna haja na rais mwenye kiharusi halafu atutie gharama za mazishi ya kitaifa.
 
Sio Milembe, sema Mirembe. Siku ile uliporuhusiwa wewe. Mie nilitoka kesho yake.

Walikuruhusu kimakosa, unatakiwa ukaendelee na Tiba, Au kama vipi wana JF Tukuchangie uende hosp ya Apollo nchini India kama kichaa chako hakirespond kwa Rx Mirembe!!!
 
Duh, kumbe mwenzangu hukuruhusiwa, bado uko wodini! Vipi yule demu chizi uliyekuwa unamsarandia pale Mirembe yupo? Usijali, ntakuja kukulia hali.
 
kuna mtu aliwahi kusema:nimechoka kuwa tingatinga kuwachongea watu barabara wapite bila shida na nikimaliza kuchonga nazuiwa kupita...
 
Back
Top Bottom