Piga simu bure kokote ulimwenguni kwa kupitia facebook

kitkat

Member
May 23, 2014
16
2
ni huduma nzuri na yenye gharama nafuu sana sana,kiasi kwamba unaweza kusema ni bure kutokana na gharama ndogo inayotumika ukilinganisha na gharama halisi kwa kutumia mitandao tuliozoea,kinachofanyika ni kutumika mtandao wa internet katika simu yako badala ya salio uliloweka.
ni tofauti na skype,tango na nyengine,kwani inatosha nguvu ya 2g kufanya umsikie mwenzako vizuri kabisa hata kama yupo u.s.a.
ili kufanikisha hilo:
nenda katika playstore(kwa watumiaji wa simu zote za android)
search neno:facebook messenger
kisha download program yenye alama kama hiyo kwenye picha:
messenger 1.png
logg in kwa kutumia account yako ya facebook
messenger 2.png
tafuta mtu yoyote unaetaka kumpigia simu katika orodha iliyopo facebook messenger:
messenger 3.jpg
na mtwangie kwa kutumia alama ya''call'' halafu urudishe jibu hapa hapa jamiiforums ipo vipi?!
kwa kukumbushia tu lazima unaempigia simu awe na program kama hiyo katika simu yake ili uweze kuwasiliana nae kwa njia hiyo
messenger mwisho.jpg
 
ni huduma nzuri na yenye gharama nafuu sana sana,kiasi kwamba unaweza kusema ni bure kutokana na gharama ndogo inayotumika ukilinganisha na gharama halisi kwa kutumia mitandao tuliozoea,kinachofanyika ni kutumika mtandao wa internet katika simu yako badala ya salio uliloweka.ni tofauti na skype,tango na nyengine,kwani inatosha nguvu ya 2g kufanya umsikie mwenzako vizuri kabisa hata kama yupo u.s.a.ili kufanikisha hilo:nenda katika playstore(kwa watumiaji wa simu zote za android)search neno:facebook messengerkisha download program yenye alama kama hiyo kwenye picha:View attachment 160075logg in kwa kutumia account yako ya facebookView attachment 160077tafuta mtu yoyote unaetaka kumpigia simu katika orodha iliyopo facebook messenger:View attachment 160078na mtwangie kwa kutumia alama ya''call'' halafu urudishe jibu hapa hapa jamiiforums ipo vipi?!kwa kukumbushia tu lazima unaempigia simu awe na program kama hiyo katika simu yake ili uweze kuwasiliana nae kwa njia hiyoView attachment 160083
Je kwa windows phone@kitkat?
 
Back
Top Bottom