Piga pesa kwa survery za uhakika

MC44

MC44

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Messages
455
Points
500
MC44

MC44

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2019
455 500
Premise wako vizuri boss na uzuri pesa inaingia TIGO PESA
View attachment 1118784

Sema sikuhizi nimekuwa mvivu fatilia pia kuna zile survey kubwa kubwa huwa sizifanyii kazi ambazo zinaingiza 400 hadi 500 kwa moja na jamaa malipo yao 24hrs.
Tatizo zinataka labda ueleze hali ya benki.....na upige picha....sasa issue ya kupiga picha benki ni risk kwako
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,419
Top