Piga pesa kwa survery za uhakika

buyoya419

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Messages
316
Points
250
buyoya419

buyoya419

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2017
316 250
MWENYE SURVERY YOYOTE ANAYOIFAHAMU AITUPIE HAPA TUPIGE PESA WOTE

HALI MBAYA BOSS KAZINI ANATUPA VIMSHAHARA VIDUCHU INABIDI TUJIONGEZE NA SISI TUPIGE SURVERY MBALIMBALI TUONGEZR PESA

MI NINAZOZIFAHAMU ZA KUPIGA VICHA NI PREMISE NA GEOPOLL

KUNA HUMANIQ KUNA BRAVE

NYINGINE NI ZIPI
 
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
2,321
Points
2,000
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
2,321 2,000
Hizo unaweza kuingiza sh ngap kwa siku?
Pesa unatoa kwa njia gani!
 
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
3,326
Points
2,000
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
3,326 2,000
Hiyo humaniq na brave zikoje??
 
emmathy

emmathy

Senior Member
Joined
Sep 22, 2010
Messages
148
Points
195
emmathy

emmathy

Senior Member
Joined Sep 22, 2010
148 195
Unaweza fafanua kidogo mkuu
?
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,587
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,587 2,000
MWENYE SURVERY YOYOTE ANAYOIFAHAMU AITUPIE HAPA TUPIGE PESA WOTE

HALI MBAYA BOSS KAZINI ANATUPA VIMSHAHARA VIDUCHU INABIDI TUJIONGEZE NA SISI TUPIGE SURVERY MBALIMBALI TUONGEZR PESA

MI NINAZOZIFAHAMU ZA KUPIGA VICHA NI PREMISE NA GEOPOLL

KUNA HUMANIQ KUNA BRAVE

NYINGINE NI ZIPI
Mkuu premise iko vzr napata survey kwa wakati .. sijajua pesa inatumwa kwa acc naada ya masaa 24 au papo hapo ?
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,587
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,587 2,000
Geopoll sijawahi pata survey zaidi ya kuinvite watu ndo napata pesa
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,587
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,587 2,000
MWENYE SURVERY YOYOTE ANAYOIFAHAMU AITUPIE HAPA TUPIGE PESA WOTE

HALI MBAYA BOSS KAZINI ANATUPA VIMSHAHARA VIDUCHU INABIDI TUJIONGEZE NA SISI TUPIGE SURVERY MBALIMBALI TUONGEZR PESA

MI NINAZOZIFAHAMU ZA KUPIGA VICHA NI PREMISE NA GEOPOLL

KUNA HUMANIQ KUNA BRAVE

NYINGINE NI ZIPI
Mimi sijaona payment yoyote baada ya kumaliza TASKS zote hizo ,, au pesa inasoma baada ya masaa 24 ? Tufafanulie
screenshot_2019-06-05-19-25-13-75-jpeg.1118767
screenshot_2019-06-05-19-25-19-15-jpeg.1118768
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,187
Points
2,000
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,187 2,000
Mimi sijaona payment yoyote baada ya kumaliza TASKS zote hizo ,, au pesa inasoma baada ya masaa 24 ? Tufafanulie View attachment 1118767View attachment 1118768
Premise wako vizuri boss na uzuri pesa inaingia TIGO PESA
screenshot_2019-06-05-19-37-08-053_com-premise-android-prod-png.1118784

Sema sikuhizi nimekuwa mvivu fatilia pia kuna zile survey kubwa kubwa huwa sizifanyii kazi ambazo zinaingiza 400 hadi 500 kwa moja na jamaa malipo yao 24hrs.
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,587
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,587 2,000
Premise wako vizuri boss na uzuri pesa inaingia TIGO PESA
View attachment 1118784

Sema sikuhizi nimekuwa mvivu fatilia pia kuna zile survey kubwa kubwa huwa sizifanyii kazi ambazo zinaingiza 400 hadi 500 kwa moja na jamaa malipo yao 24hrs.
Sasa mkuu mimi kinachonishangaza ni kimoja napewa survey ya internet cafe na hapa niko mbali nayo , na hii survey nitaifanyaje maana ina expire ..
 
MAMESHO

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
288
Points
250
MAMESHO

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
288 250
MWENYE SURVERY YOYOTE ANAYOIFAHAMU AITUPIE HAPA TUPIGE PESA WOTE

HALI MBAYA BOSS KAZINI ANATUPA VIMSHAHARA VIDUCHU INABIDI TUJIONGEZE NA SISI TUPIGE SURVERY MBALIMBALI TUONGEZR PESA

MI NINAZOZIFAHAMU ZA KUPIGA VICHA NI PREMISE NA GEOPOLL

KUNA HUMANIQ KUNA BRAVE

NYINGINE NI ZIPI

mkuu nakushauri yafuatayo hizo haziwezi zikakufikisha mbali,,, soma kitabu kimoja kwa wiki ambacho kinatatua changamoto zako kwa mfano hali ya kuwa na mshahara kidogo,,, vitabu vipo vingi tu hata vya nakala tete au kama umevikosa kitabu chako cha dini kitakusaidia zaidi

hatua hiyo itakusaidia sana katika maeneo mengi
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,187
Points
2,000
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,187 2,000
Sasa mkuu mimi kinachonishangaza ni kimoja napewa survey ya internet cafe na hapa niko mbali nayo , na hii survey nitaifanyaje maana ina expire ..
Hiyo inakuja kila siku mkuu siku ukitembelea town unaifanya tu utapewa za barabara mbovu,vituo vya bus,uchafu wa barabara,vituo vya treni,bustani za umma ni wewe tu.
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,587
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,587 2,000
Hiyo inakuja kila siku mkuu siku ukitembelea town unaifanya tu utapewa za barabara mbovu,vituo vya bus,uchafu wa barabara,vituo vya treni,bustani za umma ni wewe tu.
Hizo survey zina pesa ujue yaani 450 mpk 500 aseee
 
meck pro

meck pro

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
300
Points
250
meck pro

meck pro

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
300 250
hiyo survey ndo nini tusaidine hapo
 
buyoya419

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Messages
316
Points
250
buyoya419

buyoya419

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2017
316 250
Hizo unaweza kuingiza sh ngap kwa siku?
Pesa unatoa kwa njia gani!
SURVERY KIASI CHA PESA HAKIJULIKANI NI WEWE NGUVU YAKO NA MDA WAKO

PREMISE PESA UNATOA KWA NJIA YA TIGOPESA,MPESA NA SALIO LA KAWAIDA
 
buyoya419

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Messages
316
Points
250
buyoya419

buyoya419

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2017
316 250

SIRVERY MPYA HIO

UKIALIKA MTU UNAPEWA ELFU MBILI NA UNAYEMUALIKA ANAPEWA 1000

TUMIA CODE HIYO UPEWE BUKU

hpao4t
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,587
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,587 2,000

SIRVERY MPYA HIO

UKIALIKA MTU UNAPEWA ELFU MBILI NA UNAYEMUALIKA ANAPEWA 1000

TUMIA CODE HIYO UPEWE BUKU

hpao4t
Mkuu kumualika mtu ni vyepesi lkn utaarika wangapi .?? No survey
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,466
Top