Piga kura ya Maoni ya Urais Okt 1-3, 2010

I will vote for Jakaya this year (2010) japokuwa nimechelewa kuvote hapa jf for him. Na huu ni mfano tu wa watu wengi waliowapiga kura kwani hawaijui hata kama kuna hii forum. Babu, bibi, mama, baba na ndugu zako wanaijua? jibu unalo. Ila pia hii si nzuri kwani hawa wapiga kuwa walio nje na madenti ambao hata mwaka huu hawanauhakika wakupiga kura unaweza kuja kutuletea matatizo kwani matokeo kalisi yatakapotoka watu hawataamini na wanaweza leta shida baada ya JK kutangazwa mshindi. kwani wengi hapa JF ni either wapo nje ya nchi au ni wanafunzi ambao wanaishi maisha ya kuhamahama kwahiyo hata uhakika wa hiyo kura haupo. Slaa akijiadress vizuri na akatoka kwenye hiyo sura ya uchurch/christ urgent anaoonekana nao by 2015 akigombea anaweza pata kura yangu, but now no PLEASE.
kaziii kwelikweli upo mlango ulee tunaoukataa wa udini!!
 
Back
Top Bottom