Piga kura ya Maoni ya Urais Okt 1-3, 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Piga kura ya Maoni ya Urais Okt 1-3, 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 1, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,384
  Trophy Points: 280
  Napigisha kura ya maoni kuhusu mwelekeo wa wapiga kura. Naomba wale TU waliojiandikisha kupiga kura na wameshaamua kuwa watapiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, 2010 kujibu. Tafadhali ili jibu mara moja kwa kuandika jina la chaguo lako kwenye sehemu ya "Subject" la email yako. Usiandike kwenye ujumbe. Kura itafungwa Jumapili Oktoba 3, 2010

  SWALI: Baada ya kufuatilia kampeni za Urais zinazoendelea nchini, ni nani atakuwa chaguo lako kwa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?


  • Mutamwega Mugahywa
  • Prof. Ibrahim Lipumba
  • Dr. Jakaya Kikwete
  • Hashim Rungwe
  • Dr. Wilbrod Slaa
  TUMA JIBU LAKO KWA EMAIL YANGU HAPA CHINI. Ni majibu yatakayopatikana ndani ya siku hizi tatu TU ndiyo yatakayohesabiwa.
   
 2. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Unapigisha kura za maoni kwa e mail ?Asilimia ngapi ya watanzania wanatumia e mail?
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kura za maoni kwa email?
   
 4. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #4
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa njia ya E-mail? hii inatia wasi wasi kidogo.
   
 5. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu unatapa wangapi ili kupata realistic results?
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  kupiga kura inakwenda na Confidentiality, tena siyo hivyo tu hiyo confidentiality iwe 99.9% .Kaanze upya
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Umetumwa na usalama wa Taifa nini?
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 417,146
  Trophy Points: 280
  Hiyo kura ya maoni haina "credibility" hata kidogo kaw sababu haina uwazi.
   
 9. l

  lembeni Member

  #9
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tarajia kupata kura za slaa tu
  maana huwezi weka timu yako refa wako ukategemea kushindwa its unfair maoni na nategemea pia uta yachapisha kwenye gazetu letu la raia mwema.mwanahalisi na tanzania daima ukiweka kichwa cha habari kikuuubwa WANAMTANDAO WAMPA SLAA USHINDI WA 76% UKIJUA WAZI KUWA NI WATU KAMA 20 WALIOYUMA MAONI. KURA YANGU SIWEKI REHANI
   
 10. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  MMK, unataka kutu spy nini? nadhani hizo kura zitapingwa na wanafamilia yako tu.... Na subiria kwa taswiswi sana matokeo hayo ya kura za email
   
 11. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa (45%)
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hata huu ujumbe ameuleta online, anawataka wanaotumia technolojia hii wapige kura za zao, waonyeshe nani wataMpigia Kura, sasa kama wanaosoma huu ujumbe hapa JF hawana email hilo ni swala lingine Mkuu.

  Mwanakijiji lakini Mbona Davutwa amesahaulika , huyu ni mgopmbea kupitia UPDP, pia Kuga Mziray
   
 13. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Kaka unampango na E-mail zetu?
   
 14. M

  Mkandara Verified User

  #14
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mwanakijiji,
  Mkuu mimi ningeomba sana wewe ushirikiane na JF kuanzisha kura mpya toka leo hii hadi siku ya Uchaguzi hapa JF na kila kura ihifadhiwe kwa kufuata jina la mwanabodi aliyesajili. Kisha bandika matokeo haya kila siku ktk gazeti ulokuwa na access nalo ukiwasisitiza wananchi wapate kuja hapa JF na kupiga kura zao.

  Kisha kuepuka wale wanaochangia wakitumia majina mawili mawili tutoe asilimia 10 ya kura za (swing vote) yaani wale ambao hawajamkubali mgombea yeyote nikiwa na maana matokeo yoyote yatakayopatikana yawe kwa asilimia 90..Kwa kila watu 10 hapa JF nina hakika kuna jina moja la mtu alokwisha sajili kwa jina jingine..
   
 15. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hizi kura za maoni ambazo hazifuati principles za research, sampling and surveying ni hatari sana.
  1. Haupati sample siza inayo takiwa na ambayo ni random
  2. Uta hakikishaje hao watu ni Watanzania?
  3. Hata wakiwa Watanzania uta hakikishaje ni wapiga kura?

  Tukifanya mambo kama haya matokeo yake ni kuwapa wananchi unrealistic figures. Hatari yake ni pale matokeo ya kweli yaki toka na watu kudhani kuna dhuluma ime fanyika waki tarajia matokeo ya Uchaguzi Mkuu uta shababiana na hizo polls uchwara. Matokeo yake yana weza yakawa mabaya. Jamani be careful the information you feed to the public.
   
 16. M

  Mkandara Verified User

  #16
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mwanafalsafa1,
  Mkuu swala la Vote mara nyingi lina utata kwani hata ukisema iwe wale wapiga kura tu bado haina uhakika kwamba hawa watapiga kura kweli.. Kwa hiyo ni hadi siku ya uchaguzi ndipo ukweli unapotokea kwani mara nyingi hizi polls zinatabiri tu umaarufu wa mgombea kwa wananchi na wapiga kura. Sema tu kwamba hapa JF wengi waliopo hapa wapo nje ya nchi ambao nao wamepiga kura za maoni, labda kina Invisible wange limit upigaji kura za maoni hapa kwa wale walioko Tanzania tu kama inawezekana.
   
 17. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nashangaa mnaogopa kitu gani. Usitumie email yako unayoitumia kila siku. Fungua email nyingine -- you can do that in 3 mins halafu itumie hiyo kwa kumpelekea MMKJJ vote yako. NO BIG DEAL HERE.
   
 18. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mkandara,
  Nakubaliana na wewe. Ila japo polling ni guess work it is a scientific guess work. Kwa maana numbers hazitoki out of no where. Ndiyo maana kwenye nchi za wenzetu zilizo endelea polls hazipo mbali na ukweli. You must control every survey. Lazima kuwe na sample group kwa maana Watanzania tupo idadi gani kwa hiyo idadi gani ya watu wana takiwa kuwa sampled. Pia lazima tuwe na aimed group which is wapiga kura na kuwa Mtanzania haimaanishi moja kwa moja wewe ni mpiga kura.

  Kwa hiyo mkuu kuchukua huo ushauri wako wa kulimit watu ambao wapo Tanzania tu....
  1) Uta hakikishaje hao watu wapo Tanzania?
  2) Hata ukiweza uta hakikishaje wana sifa za upiga kura? Kwa wenzetu kama Marekani polls wanaulizwa watu walio jiandikisha kupiga kura tu.
   
 19. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  MKJJ

  Umetumwa na wewe???? Tokea lini nawe umeanza njia za panya humu ndani wataka majibu kwa email? what ar u upto Bro??

  Are you doing Politics Crime Scene Investigation???

  Kama umeuliza maswali hapa then tukupe majibu hapa hapa nawasiwsi sana nisije pata reply kwa email inaniambia kwenye account yako ya sehemu furani imeongezewa share.

  Na mchagua JK as President.

  Swali jingine? Hutaki kujua Mbunge nae mchagua huku Nyamagana na diwani??
   
 20. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hilo neno na nakupa big up 100%.

  Kwa taratibu za covert operations...wanapotaka kudeal na mtu anayewaharibia mambo hasa kwa mfano wakati huu wa uchaguzi huwa kuna taratibu za 'authorizations' ambazo haziwezi kutoka mpaka kuwe na uhakika.

  sasa swali je kuna 'mwaribifu' humu anatafutiwa 'proof beyond reasonable doubt' au?

  Wale jamaa hawaruhusiwi kufanya kazi kwa kuhisi....mfano jina jumakani kwenye JF huwezi kuamua kuhisi kuwa ni Juma Makani au ni Julius Makani au pengine ni Mrisho Kikwete kajiita jumakani..... Lakini akituma email ni rahisi kufuatiliwa na kuthibitishwa na hivyo kupata 'authorization' ya ku 'execute'

  MM hapa tunapata wasiwasi na 'status' yako. Kura kwa email????????????? NI WEWE KWELI??????
   
Loading...