PIGA KURA SASA:Mashindano ya MISS CHITCHAT MWEZI NOV-Hatua ya Nusu fainail

waooo thanks Mungi am happy

Karibu, umelia sana mpaka umentia huruma mie mtoto wa mwanamke mwenzio..............my husband wako Baba V naye kanikomalia nikurushie kitu chenye ncha butu lakini lenye faida kwako.
Rushwa mliyonipa wewe, Baba V na nitonye si haba
 
Last edited by a moderator:
Thanks a looooot kwa mnaonipigia kuraaaaaaaa! WATU WANGU WA UKWEEEEEEEEEEE CHUKUENI BAILEYS BARIDAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!! PAMOJA SANAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!

JOIN THE WINNING TEAM, VOTE FOR LARA 1, WALE WATU WA UKWEEEEEEEEEE NA UHAKIKAAAAAAAAAAA ( Jiulize jeee wewe ni wa ukweeeeeeeeeeeeeeeeeee??????????lol!)
 
Kama kawa kama dawa....
Nitapeperusha juu bendera yako...
 
Back
Top Bottom