PIGA KURA SASA:Mashindano ya MISS CHITCHAT MWEZI NOV-Hatua ya Nusu fainail

mimi nampendekeza Arabela, CUTE na pretty n, Ciello. nashangaa watu wanataja majina mengi wakati yanatakiwa majina mawili tu.Halafu Ruhazwe JR kwanini umeandika kwa maandishi madogo kiasi hiki? au hutaki wanao tumia simu wapige kura? mia
 
Last edited by a moderator:
zawadi ziwekwe wazi tafadhali ili wagombea watoe jasho huku wakijua hatma ya.o
 
Kwanza uelewe kuwa hapa nakupa makavu ya fasta kabla sijachangia, naona unatufanya watoto hapa. Ruhazwe JR hapa ingawa ni chit chat unakosea sana kwani last time ulikosea na ukasema utarekebisha. Despite kuwa tulilalamika ukaaidi kutorudia makosa. Sasa kosa lako ni hili; kuanzia tarehe 25 October ndiyo ungestopisha kupendekeza majina na kuanza taratibu hizi unazoanza leo, tena baada ya kuanza kushambuliwa na members hasa mzee wa mia figganigga. Ni vema basi tarehe 1 kila mwezi ikifika tukawa na miss mpya badala ya kumpata miss tareha 3 au 6 ya mwezi.
Ingawa umejitetea lakini bado ulikuwa na nafasi ya kumPM member yeyote umtakaye aendelee na utaratibu kwa kufuata utaratibu ambao ungempa wewe. Haileti maana members wanachangia thread mpaka posts zimekaribia 300 you just sit and watch.
Tusiporekebishana tunamngoja nani? Ni hayo tu.
PIGA KURA


nimekwambia nilikua na maswahibu,wewe inaniambia habari ya PM,sasa huo mda wa PM ningeshindwa vip kufanya kazi,
PIGA KURA,ACHA KEKELE
 
Last edited by a moderator:
Niwatake radhi kwa kuchelewa.

yafuatayo ni majina ya washiriki
KUNDI A
1. Ciello
2. @FP
3. charminglady
4. pretty n
5. snowite

KUNDI B

1. Arabela
2. Natalia
3. CUTE
4. Kipipi
5. lara 1

MASHART/JINSI YA KUPIGA KURA
a/ chagua majina mawili toka kila kundi,mfano kundi A sara na halima,Kundi B asha na fatuma
b/ kura halali ni one member one vote
c/ washiriki wanaruhusiwa kujipigia kura kura/kumpigia kura mtu wampendaye
d/ Mchakato wowote wa kuomba kura una ruhusiwa

Nawasilisha
Ruhazwe JR

Kundi A Pretty n na snowwite Kundi B kipipi na arabela
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom