Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.

===

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.

Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo umetajwa kuwa chanzo cha kifo chake.

Imeelezwa alilazwa Hospitali Jumamosi na alikuwa anaendelea vizuri hadi Jumatatu ambapo hali yake ilibadilika ghafla na jitihada za madaktari kuokoa maisha yake hazikufanikiwa.

Rais Nkurunziza alizaliwa Desemba 18, 1964 na ameongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2005 (takribani miaka 15) hadi mauti ilipomfika.

Serikali imesema kutakuwa na kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa siku saba na bendera zitapepea nusu mlingoti.

1591713814873.png


1591713559223.png


1591713577979.png
 
Aliyewahi kuwa raisi wa nchi ya Burundi afariki dunia. Raisi huyo ametawala kwa zaidi ya miaka kumi Hadi mwaka huu. Pierre afariki kwa corona, taarifa kamili tunakuletea. Endelea kufuatilia.

In 2015, Nkurunziza was controversially nominated by his party for a third term in office. Supporters and opponents of Nkurunziza disagreed as to whether it was legal for him to run again, and protests followed. More than two months of anti-Nkurunziza protests, which were often violently repressed, left at least 100 dead. On 13 May 2015, a coup attempt against Nkurunziza occurred while he was out of the country; the coup leader, Godefroid Niyombare, claimed to have ousted Nkurunziza, but Nkurunziza loyalists disputed the claim. Facing resistance from Nkurunziza loyalists, the coup collapsed and forces loyal to Nkurunziza appeared to be back in full control by 15 May. Independent media was shut down and many opponents fled, joining an exodus of more than 400,000 Burundians.[1]

Amidst an opposition boycott, Nkurunziza was reelected to a third term in the July 2015 presidential election. On 7 June 2018, Nkurunziza announced that he would not seek another term when his current term ends in 2020.[2]

Fuata link hi Historia fupi ya Pierre Nkurunzinza

Pierre Nkurunziza | Biography & Facts
 
Nini hiki? Mungu Fundi, Bora umefariki umeachia nchi kwenye taharuki ndogo tofauti ungefia madarakani.

Binadamu siku zetu ni chache Sana hapa duniani na hazina idadi maalumu.

Kurunzinza alishajipa ufalme wa Burundi, kumbe Mungu nae anapanga yake siku chache tu zijazo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom