A allydou JF-Expert Member Apr 16, 2009 1,603 1,060 May 1, 2012 #3 mbona mimi siioni, picha zingine huwa mnaziona vipi.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,515 6,489 May 1, 2012 #5 Nadhani ni mke wa Sarkorzy, wamekalia kuti kavu.
Wingu JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,318 401 May 1, 2012 #6 Mke wa wasira huyu au mnataka kuniambia namfananisha.
ummu kulthum JF-Expert Member Feb 6, 2012 2,785 1,317 May 1, 2012 #7 mbona kawaida kwani wadada warembo wa tz wamekwisha jaman au ndio udhungu?
kingfish JF-Expert Member Apr 15, 2011 571 159 May 1, 2012 Thread starter #12 ndinani said: anafanana na mwanaasha!! Click to expand... mwanaasha ndio nani tena?
ALAIMU Member Jul 4, 2011 15 1 May 1, 2012 #13 mi pia siioni,naona kama mnajifariji tu kusema mnaiona ilihali hakuna kitu. sioni picha yyte,ila nilikimbilia kweli kumuona huyo cute
mi pia siioni,naona kama mnajifariji tu kusema mnaiona ilihali hakuna kitu. sioni picha yyte,ila nilikimbilia kweli kumuona huyo cute
Karao JF-Expert Member Apr 25, 2011 1,053 580 May 1, 2012 #14 hawa watu wanaharufu mbaya kama kitimoto alielowa na mvua