Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
THIS IS THE DAUGTHER OF KANYE WEST
mbona hakuna u-black hapo?
mkuu mbona kanye west huwa haonekani kwenye kile kipindi cha keep up with kadashians, wale wengine wanaonekana wakiwa na wapenzi wao lakini kim haonekani akiwa na kanye, hivi why??subiri hakue kue utauona sana sana kwenye nywele zitakuwa za kiafrica sasa hiv bado mtoto.
watoto wengi wakiwa wadogo uwa weupe sana ila wanachange taratibu
Alikataaa.mkuu mbona kanye west huwa haonekani kwenye kile kipindi cha keep up with kadashians, wale wengine wanaonekana wakiwa na wapenzi wao lakini kim haonekani akiwa na kanye, hivi why??
Huyo ni mtoto wa nani?