PICTURE: Bilal Attends Mexico's Presidential Swearing-in Ceremony

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)BY MBONEKO MUNYAGA, 2 DECEMBER 2012


VICE-PRESIDENT Dr Mohamed Garib Bilal was among dignitaries who witnessed the swearing-in of Mexico's new leader, President Enrique Pena Nieto in New Mexico City.

He represented President Jakaya Kikwete. Dr Bilal left the country four days ago leading a government delegation in a show of deepening business and diplomatic ties with a country fast shifting into the middle income category and now deemed the favourite destination for foreign investments in Latin America, the Director of Information Services, Mr Assah Mwambene, told the 'Sunday News'.

Agencies reported that the transfer of executive powers occurred at exactly 00:01 local time just after midnight at the Presidential Place when outgoing President Felipe Calderon Hinojosa received the national flag from a military school cadet, which he immediately handed over to Mr Nieto, symbolizing the new leader had also assumed the powers of Commander-in-Chief of the Mexican armed forces.


Mexico's Honorary Consul in Tanzania, Mr Reza Saboor said Mexico was determined to scale up business and economic ties with Tanzania, "which it considers its twin brother" in Africa. Tanzania's former major export crop, sisal was introduced into the country at the beginning of the 20th century from Mexico.


He said Mexico was particularly keen to help Tanzania build low cost houses, an area that the Latin American country has "a lot of expertise and experience in." Mexico also wants to further cultural exchanges with Tanzania to make diplomatic ties be truly driven and inspired by the people themselves, he added.


Mexico and Tanzania had full diplomatic relations but the country's mission in Dar es Salaam was closed until Mr Saboor, a Tanzanian businessman, was appointed the Honorary Consul early this year. Mid last month, patrons to the Diplomatic Spouses Group (DSG) Bazaar in Dar es Salaam had the rare opportunity to taste Mexican food when the consulate participated for the first time in the annual event.


The money raised goes to several charities, including assisting children living in challenging conditions and orphans. Mr Nieto, leader of the Institutional Revolutionary Party (PRI) took the oath of office in the lower House of Congress (parliament) at 10:00 am, finalising the democratic, peaceful and orderly transfer of executive powers.


He won the polls held in July this year. Elections in Mexico are held after every six years with the winner determined on a simple majority. The constitution prohibits run-offs in elections.


Dr-Gharib-Bilal.jpg


Dr. BILAL in MEXICO representing PRESIDENT KIKWETE


ma4.JPGma3.JPG


Mrs. BILAL receiving a gift from MEXICO New PRESIDENT​

ma2.JPG

 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225

Nchi yetu ina pesa za kuchezea; Viongozi WETU wanamisafara sasa ya kuhudhuria KUAPISHWA kwa MARAIS ambao hatuna BALOZI kwenye MJI wao au HAPA Dar...

Si, Matumizi MABOVU ya PESA za WALIPA KODI???
 

Kwameh

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
1,607
2,000
Nchi yetu ina pesa za kuchezea; Viongozi WETU wanamisafara sasa ya kuhudhuria KUAPISHWA kwa MARAIS ambao hatuna BALOZI kwenye MJI wao au HAPA Dar...

Si, Matumizi MABOVU ya PESA za WALIPA KODI???
I wonder kama jirani yao wa mlango wa pili Joe Biden alikwenda Mexico kumuwakilisha President Obama eti Rais wa Mexico anaapishwa!
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,863
2,000
Upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi mtuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuupu. Aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr. Niondoleeni nisitapike bure.
 

jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
24,078
2,000
Huyu Rais wa Mexico nina wasiwasi naye kuwa yuko kwa niaba ya drug dealers,so sishangazwi kabisa.

Amesema yeye kuingia madarakani hana nia ya kushughulikia masuala ya madawa ya kulevya,amesema yeye anadeal na uchumi.
MEXICO CITY (Reuters) - Mexico's new president takes office on Saturday seeking to shift the focus away from a grisly drug war and onto economic reforms aimed at sparking fast growth and pulling the country out of the shadow of regional powerhouse Brazil.
http://news.yahoo.com/analysis-mexicos-president-reset-drug-war-push-reforms-172841678.html
Nimeshangawzwa sana na kauli ya rais wa Mexico anayeona kuwa drug dealing siyo big deal.

No wonder kuna wamexico wanaandamana kumpinga wakidai alinunuwa kura!Nina mashaka sana na huyu rais!Lets wait and see!Wanunuzi wa kura wanatoa pesa kwa madrug dealer ambao wako fit sana tuu!
The people are protesting against Nieto taking over the presidential office since the second runner up in the election, Andres Manuel Lopez Obrador, has refused defeat and has accused Nieto of buying millions of votes.
http://www.presstv.ir/detail/2012/12/01/275636/mexicans-protest-new-pres-inauguration/

Tunajua wakenya kuna viongozi ambao wengine ni wabunge ie wa kisauni nk,pamoja na(kina John Harun Mwau ambaye ni mbunge na aliyewahi kuwa naibu waziri Kenya,na ambaye anamiliki Nakumat Supermarket na pia ana worth $750 kuliko P Diddy mwenye $500),pamoja na yule "mama lela" ambaye ni mkenya aliyekamatwa kule Mbezi aliyetajwa na Obama(pamoja na Mwau)kwamba ni ma kingpins wa drugs hapa east Africa.

Mwau akideal na cocaine,na mama lela akibase kwenye heroin,Kenya wameshakamata ma contaner ya hizo drugs(kwenye bandari za Kenya) ambazo zinatokea maeneo hayo ya Mexico!

Nina wasiwasi sana na viongozi wetu since JK alikataa kuyataja majina na kuwashuguhulikia wauza madawa!
 

Democracy999

JF-Expert Member
May 26, 2012
945
0
Bilali hajaongozana tena na kale ka jamaa kanavaaga tisheti iliyoandikwa ZANZIBAR?
wanajitangaza kijanja sio? tafuteni picha za safari yake brazil na etc
 

jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
24,078
2,000
Bilali hajaongozana tena na kale ka jamaa kanavaaga tisheti iliyoandikwa ZANZIBAR?
wanajitangaza kijanja sio? tafuteni picha za safari yake brazil na etc
Nina wasiwasi na huyu rais mpya wa Mexico,ndiyo maana nina wasiwasi na viongozi wetu kujisogeza karibu naye ukitilia maanani kuwa mkuu wa kaya ameyakalia majina ya vigogo wa madawa ya kulevya(endapo fununu za Uchina ni za kweli).
 

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,015
2,000

Nchi yetu ina pesa za kuchezea; Viongozi WETU wanamisafara sasa ya kuhudhuria KUAPISHWA kwa MARAIS ambao hatuna BALOZI kwenye MJI wao au HAPA Dar...

Si, Matumizi MABOVU ya PESA za WALIPA KODI???
hizo ni fedha wanazojipatia kiulaini na hawahitaji viambatanisho.unaitwa ufisadi mamboleo
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,824
2,000
Jamaa ana kazi sana acha amalizie miaka iliyobakia apate hiyo pensheni hadi kufa kwake si yeye aliutaka urais tu kama JK hawakuwa na malengo yeyote ila ni kuwa Rais tu basi!!ana ki sister du matata kweli ndio maana anaitwa shababi!
 

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,812
2,000
Jamani anakwenda weka jina, ili baadae misaada ipatikane kiurahisi
 

LexAid

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
1,935
1,195
I wonder kama jirani yao wa mlango wa pili Joe Biden alikwenda Mexico kumuwakilisha President Obama eti Rais wa Mexico anaapishwa!

Mh! Sasa nyie mnataka kilasiku akafungue hituo hewa vya afya mikoani tuu! Ngoja babu nae asafishe macho kidogo..:eek:hwell:
 

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
225
Nina mashaka na hizi picha kama kweli zinahusiana na tukio la kuapishwa rais wa Mexico!! Kwanza huyo jamaa pichani siye rais mpya wa Mexico Enrique Pena Nieto!!
 

Kwameh

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
1,607
2,000
ma3.JPG


Mrs. BILAL receiving a gift from MEXICO New PRESIDENT

Huyo bwana anayetoa zawadi ni msaidizi wa balozi Tanzania Washington na sio rais wa Mexico.
Bwa! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

E bana eeh, sikusoma hiyo caption, yani yule Mpemba wa Washington DC ndio Daily News wamesema ni Rais wa Mexico?? Magazeti yetu vituko man...
 
  • Thanks
Reactions: FJM

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom