HASSAN SHEN
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 428
- 69
Hawana lolote
sijakuelewa mkuu, labda elezea kidogo ulichomaanisha ili namimi nipate kushare mawazo na wewe. Natanguliza shukurani.Mutafungwa
Utamjuaje mtu kama amechoka kwa kumwangalia kwenye picha tuu?
Wanafanya nini huko USA? Au ndio wanajiandaa kurudi baada ya maisha ya kubangaiza?
Mbwembwe zingine bana! sijawahi ona wamarekani wakikabidhiana kadi za republican au democratic hapa bongo.
Iweje sisi kwao?
Mutafungwa
sijakuelewa mkuu, labda elezea kidogo ulichomaanisha ili namimi nipate kushare mawazo na wewe. Natanguliza shukurani.
Wajameni TUKO NNJE na TUMECHOKA hivi ndio Sababu Twakimbilia KADI za CCM???
Utamjuaje mtu kama amechoka kwa kumwangalia kwenye picha tuu?
Kuwa USA ni dalili za kuchoka?
si lazima u-quote mipicha yote hii unaweza uka mention jina tu yatoshaMbwembwe zingine bana! sijawahi ona wamarekani wakikabidhiana kadi za republican au democratic hapa bongo.
Iweje sisi kwao?
Mkuu EMT, uko sahihi na hapa ndio wengi wetu tunapokosea. Kwa kawaida huwezi kuangalia tu hizi picha then ukasema watu wamechoka, kama tunawalaum kwa kuwa ccm hilo ni suala lingine lakini hili la kuchoka kwa kuangalia tu picha nadhani si sahihi sana hata kama tunaichukia ccm.
Picha hizi hizi kama zingekua ni sherehe ya CDM ungesikia makamanda, na sifa nyingi tu kwa picha hizo hizo.
Kuwa USA ni dalili za kuchoka?
Kuwa na KADI za CCM NJE ya NCHI na KUJITANGANZA ni Za nini? Hakuna anayeruhusiwa KUPIGA KURA; ILA TU UKITUA DAR UNAONYESHA KADI Unapewa KIPAUMBELE huo SIO UCHOVU wa KISIASA? EVERYONE anataka kutumia a LOOPHOLE ya KULA vya NCHI hata UKIWA NJE... TUTAFIKA KWELI????
Nimeuliza swali unanipa majibu ambayo hayahusiani na swali.
Badala ya kujibu swali langu umeuliza swali lakini na katika kujaribu kulijibu ukashindwa.
Bora hata ungejibu swali lako basi kama umeshindwa kujibu langu.
Utamjuaje mtu kama amechoka kwa kumwangalia kwenye picha tuu?