PICHANI Sherehe za miaka 36 ya CCM zafana Houston-Texas

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
16,878
2,000
Mbwembwe zingine bana! sijawahi ona wamarekani wakikabidhiana kadi za republican au democratic hapa bongo.
Iweje sisi kwao?

Mutafungwa

sijakuelewa mkuu, labda elezea kidogo ulichomaanisha ili namimi nipate kushare mawazo na wewe. Natanguliza shukurani.

Unajua heading ilivyokaa, maana ya sherehe hufana si unajua inamaanisha ni kuwa ya ukweli? lakini ukija kuona picha zenyewe unakuta kwamba wameazimisha tu lakini sio kwa kiwango cha kufana.

Hapo kwenye red, namaanisha hilo jina Mutafungwa na Mbwembwe mbona jambo la kawaida tu kwa nshomile? Thanks mkuu.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
16,878
2,000

Wajameni TUKO NNJE na TUMECHOKA hivi ndio Sababu Twakimbilia KADI za CCM???

Utamjuaje mtu kama amechoka kwa kumwangalia kwenye picha tuu?

Kuwa USA ni dalili za kuchoka?

Mkuu EMT, uko sahihi na hapa ndio wengi wetu tunapokosea. Kwa kawaida huwezi kuangalia tu hizi picha then ukasema watu wamechoka, kama tunawalaum kwa kuwa ccm hilo ni suala lingine lakini hili la kuchoka kwa kuangalia tu picha nadhani si sahihi sana hata kama tunaichukia ccm.

Picha hizi hizi kama zingekua ni sherehe ya CDM ungesikia makamanda, na sifa nyingi tu kwa picha hizo hizo.
 
  • Thanks
Reactions: EMT

makavulaivu

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
401
0
Ni kijana gani sikuhizi anaipenda ccm?
Unaweza kuta CCM wamewakodi tuu, kama si watoto wa viongozi wa magamba.
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
32,062
2,000
Njaa zinawasumbua chama hapa Home kinakufa wao wanasherehekea.
Nadhani hawajui kinachoendelea hapa Bongo.
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Mkuu EMT, uko sahihi na hapa ndio wengi wetu tunapokosea. Kwa kawaida huwezi kuangalia tu hizi picha then ukasema watu wamechoka, kama tunawalaum kwa kuwa ccm hilo ni suala lingine lakini hili la kuchoka kwa kuangalia tu picha nadhani si sahihi sana hata kama tunaichukia ccm.

Picha hizi hizi kama zingekua ni sherehe ya CDM ungesikia makamanda, na sifa nyingi tu kwa picha hizo hizo.

Kuwa na KADI za CCM NJE ya NCHI na KUJITANGANZA ni Za nini? Hakuna anayeruhusiwa KUPIGA KURA; ILA TU UKITUA DAR UNAONYESHA KADI Unapewa KIPAUMBELE huo SIO UCHOVU wa KISIASA? EVERYONE anataka kutumia a LOOPHOLE ya KULA vya NCHI hata UKIWA NJE... TUTAFIKA KWELI????
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Kuwa USA ni dalili za kuchoka?

Kuwa na KADI za CCM NJE ya NCHI na KUJITANGANZA ni Za nini? Hakuna anayeruhusiwa KUPIGA KURA; ILA TU UKITUA DAR UNAONYESHA KADI Unapewa KIPAUMBELE huo SIO UCHOVU wa KISIASA? EVERYONE anataka kutumia a LOOPHOLE ya KULA vya NCHI hata UKIWA NJE... TUTAFIKA KWELI????
 
EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,479
2,000
Kuwa na KADI za CCM NJE ya NCHI na KUJITANGANZA ni Za nini? Hakuna anayeruhusiwa KUPIGA KURA; ILA TU UKITUA DAR UNAONYESHA KADI Unapewa KIPAUMBELE huo SIO UCHOVU wa KISIASA? EVERYONE anataka kutumia a LOOPHOLE ya KULA vya NCHI hata UKIWA NJE... TUTAFIKA KWELI????

Nimeuliza swali unanipa majibu ambayo hayahusiani na swali.

Badala ya kujibu swali langu umeuliza swali lakini na katika kujaribu kulijibu ukashindwa.

Bora hata ungejibu swali lako basi kama umeshindwa kujibu langu.
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Nimeuliza swali unanipa majibu ambayo hayahusiani na swali.

Badala ya kujibu swali langu umeuliza swali lakini na katika kujaribu kulijibu ukashindwa.

Bora hata ungejibu swali lako basi kama umeshindwa kujibu langu.

Uh LALA kwahiyo SWALI LAKO HALIJAJIBIWA? UH Don't PICK and CHOOSE...
 
Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
0
wamechoka kuosha sufuria za wazungu wanaanza kampeni za kurudi home hao. hawana lolote kujikomba wakidhani kuwa CCM ndo kutoka kimaisha.:target:
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,785
2,000
Nashindwa ku-quote picha, ila huyo mwenye double breasted checkered suit ya kijani kachoka aisee.

Anyways, ni lugha ya picha nadhani. Si unaona le mutuz nae aliingilia gia hiyo. Walau kawaepuka papa na nyangumi, na umri umesogea anaishi kimjini mjini. Tatizo la boksi fainali uzeeni.
Utamjuaje mtu kama amechoka kwa kumwangalia kwenye picha tuu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom