eucalyptos
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 391
- 139
ndio ukweli, na hata kama hili daraja lina uwezo huo si rahisi kuisoma picha kwa vile picha hajapigwa kwa kiwango cha vipimo vya kujua upanda wa daraja. Mpiga picha alijitahidi kuvuta lens ili kupata taswira ya hatua za ujenzi ilipofikia, huenda tunatoa hitimisho mapema kabla hatujawa na uhakika w...
Madaraja kama haya ambayo tunaona picha zake, si rahisi kujua yana lane ngapi, kwa vile picha haiwezi kutoa scale ya ukubwa.
kwenye picha ya pili kuna scale.
Linganisha watu hao na lane ya daraja / daraja lenyewe.