Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,701
Kwenye hiyo picha ya pili, upande wa kushoto kuna watu watatu wamesimama mmoja amevaa nguo nyeupe. Wamefuata nini?
walikuwa kwenye msafara wa waziri Magufuli.
Kwenye hiyo picha ya pili, upande wa kushoto kuna watu watatu wamesimama mmoja amevaa nguo nyeupe. Wamefuata nini?
Kiuwekezaji haihitaji pongezi maana mashirika yanayotafuta kukamua wananchi ni mengi ila kama angefanya kweli kwakutumia rasilimali zetu wenyewe (gas, gold, uranium nk) hakika tungempongeza.Kuna michakato ya kila aina si ya kujenga daraja tu, ipo kwenye makaratasi na ndoto za mchana, kabla wewe na mimi hatujakuwepo, Jee, tuipongeze kwa kuwa ipo kwenye ndoto zao au tumpongeze aliyeifanya ikawa kweli na si ndoto tu? Fikiri.
Kikwete anafanya kweli.
Kiuwekezaji haihitaji pongezi maana mashirika yanayotafuta kukamua wananchi ni mengi ila kama angefanya kweli kwakutumia rasilimali zetu wenyewe (gas, gold, uranium nk) hakika tungempongeza.
dr, hii ndo masterplan ya daraja hilo hebu icheki!!!
Idea ya kujenga hili daraja aliitowa babu yake babu yangu mwaka 1919 na ramani alichora. Mchoro wa kwanza ulikuwa ni wake lakini alichora itumike mianzi na udongo wa mfinyazi uliochanganywa na mayai ya kuku wa kienyeji kuufanya ukamatane vizuri na kuwa "salt water proof". Bahati mbaya ikaonekana kuku wanaoweza kutoa aina ya mayai yanayofaa kwa kazi hiyo wanapatikana Iguguno tu huko Singida na itachukuwa miaka 35 kupata kuku na mayai ya kutosha. Kwa hayo plan yake ikarudishwa kwa maboresho na re-design. Zikabaki ndoto na mawazo ya kila aina na kila watu mpaka hapa tulipofikia.
Michoro ya daraja la sasa na upembuzi yakinifu imeanza mwaka 2007 na kumalizika 2010. Na Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushauriana na Dokta Ramadhan Dau wameweza kutimiza ndoto za muda mrefu na kazi imeanza kwa kasi zaidi kama picha zinavyoshuhudisha.
Mimi ni mmojawapo ambaye sikupenda kupata kiwanja cha kujenga Kigamboni sababu ya tatizo la kusubiria ferry. Leo ninapoona hili daraja naanza kubadili mtazamo wa kuona Kigamboni si kisiwani tena. Mwenye kiwanja cha Ekari moja mpaka mbili nipm, niko tayari kwa gharama yo yote kwani sasa naona Kigamboni yawa kama :A S 465:Long Island beach ya NY.:A S 465:
Hata nikipata pale Vijibweni sawa tu, maana huko karibu na beach kabisa nako mawimbi ya bahari yakitikisika kwa kishindo cha tetemeko balaa kufunikwa na maji ya chumvi.
Dr, hii ndo Masterplan ya daraja hilo hebu icheki!!!
Hata hivyo vyote vilivyotajwa tunavisikia majina tu, labda wewe ni mmoja wa wale wenye ile kampuni ilinayotuhumiwa pale Mwanza, kama ni hivyo wewe husikii tu kama sisi utakuwa navyo kwako!.Hizo Gas, Gold na Uranium bila jitihada yake ungezisikia jina tu. Kikwete anafanya kweli.
Dr, hii ndo Masterplan ya daraja hilo hebu icheki!!!
kwa hiyo ni rekodi nyingine ya kipumbavu.rekodi ya kimatonya matonya.ripDaraja halijajengwa na kodi za wananchi, bali ni mwekezaji ambaye daraja hilo tutalivuka kwa kulipia. Sijajua itachukua miaka mingapi mwekezaji kurudisha gharama kisha tupate huduma bure.
kaka kuna watu wa ajabu sana tz.namkumbuka sana meya wa jiji la dar.Hata hivyo vyote vilivyotajwa tunavisikia majina tu, labda wewe ni mmoja wa wale wenye ile kampuni ilinayotuhumiwa pale Mwanza, kama ni hivyo wewe husikii tu kama sisi utakuwa navyo kwako!.
unasifia huku unaomba msamaha miradi kama hii mara nyingi huwa na matokeo mabaya kwa raia je kama ni kweli linajengwa halafu litahitaji kumlipa mwekezaji kwa kipindi kirefu tija itakuwa wapi?halafu kutumia hela za nssf bila matakwa ya wenye hela yao si sahihi sifa lazima ziwe stahiki.Naomba niwajulishe , hicho kidaraja mnachokiona, kimejengwa temporary tu, kwa kuwawezesha hao jamaa kwenda na kurudi kwa muda, daraja lenyewe mtaliona au mmeshaona picha zake, acheni kukashif, mtu akifanya mambo mazuri msifieni, hata kama ni pesa yenu / yetu ya NSSF kuna pesa ngapi zilikuwa enzi za tawala zilizopita na mbona hatukuwahi kuona majambo kama ya sasa? hongera Dr Dau, hongera kikwete, ari na kasi yako tumiona, ila tafadhali usituhamishe kigamboni mpaka umetuwekea mazingira mazuri ya kutulipa haki zetu
Vizuri mdau kwa taarifa kuhusu upembuzi yakinifu kitu ninachoaamini kila kitu kinawezekana kama utaamua na kuweka plan na design ya kitu in advance kabla ya kutafuta hela hata kama utekelezaji utafanyika baada ya miaka 30 kwani plan na design ndio inakuwa base ya nini kifanyike ili daraja lijengwe na ndio maana nilikuwa napinga sana hii issue ya power tiller nikiwa nina maana tumeji-under rate kwa kuweka minimum standard ambazo sio kumbe kama tungejipanga tungeweza kuweka at least kila wilaya trekta kadhaa na baada ya miaka kadhaa tuwe na trekta kadhaa. Otherwise nipo poa na nimefurahi hii kitu kuendelea kujengwa maana ilikuwa ni hadithi ya muda mrefu na ilionekana kama haiwezekani.
unasifia huku unaomba msamaha miradi kama hii mara nyingi huwa na matokeo mabaya kwa raia je kama ni kweli linajengwa halafu litahitaji kumlipa mwekezaji kwa kipindi kirefu tija itakuwa wapi?halafu kutumia hela za nssf bila matakwa ya wenye hela yao si sahihi sifa lazima ziwe stahiki.
Hata hivyo vyote vilivyotajwa tunavisikia majina tu, labda wewe ni mmoja wa wale wenye ile kampuni ilinayotuhumiwa pale Mwanza, kama ni hivyo wewe husikii tu kama sisi utakuwa navyo kwako!.
Take it from me dude!!!!hii ndoto mkuu