Picha: Zitto Kabwe na Rais Mstaafu wa Zambia Kenneth Kaunda

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050


zzk-kk.jpg

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mheshimiwa Zitto Kabwe Kisalimiana na Rais Mstaafu Wa Zambia Mzee Kenneth Kaunda leo ofisini kwake Lusaka,Zambia
zk-kk.jpg

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mheshimiwa Zitto Kabwe Wakifurahia Jambo baada ya kumkumbusha uamuzi wao na Nyerere kuhusu Biafra. Heshima kwa Waasisi wa bara la Afrika.Picha na Zitto Kabwe(MP)

Source:Haki ngowi Blog.
 
Back
Top Bottom