Picha Zisizo Za Kawaida No. 11: Mkapa na Kikwete Walonga

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Hii ni moja kati ya pichaa nazozipenda sana, pichani juu Rais mstaafu Benjamin .W .Mkapa (Kushoto) akimweleza jambo Rais Jakaya Kikwete huku Rais kikwete akimsikiliza kwa makini kabisaa, hii ndio baraka tuliyonayo Tanzania kwa viongozi wetu wapya na wazamani kukutana bila wasi na kupiga story safii kabisaaaa..


Source: http://haki-hakingowi.blogspot.com/2007_09_01_archive.html

mk.JPG


Nawakarinisha wabunifu kubuni, ni nini Rais Mstaafu Mkapa alikuwa anamweleza Rais Kikwete.
 
Mkapa: "Sikia Jacky; CCM ndo Baba CCM Ndo Mama, kwa maana nyingine ni Nambari 1. So, no Worry urais utashinda na pesa ya campaign ipo"

Kikwete: "Du! Nakuaminia dingi wangu. Nikishinda itakuwa poa sana mtu wangu. Na mimi hamna noma nitahakikisha naku-defend jamaa wakianza kuchonga"

untitledmkapa.bmp
 
Mkapa: Salma vipi mnaendeleaje?
JK: Yuko poa bro. Mambo ya WAMA yanam-keep Busy



M-2.jpg
 
1.jpg


Ruksa: Mjasiliamali msaidie Jacky ashinde
Mjasiliamali: Sawa tu Mzee Ruksa, nakupata.
 
Picha zote nzuri sana, na zinaonyesha Tanzania aliyoipenda Mwalimu Nyerere, ila tatizo nyuma ya pazia kuna madudu yanatisha (UFISADI).
 
Wanaonekana nadhifu sana machoni pa watanzania lakini mioyo na nafsi zao zimejaa uchafu mtupu,hawafanani hata kidogo na Waasisi wa nchi hii.Wanachekelea jinsi wanavyofaidi jasho la Watanzania.
 
Back
Top Bottom