Picha Zisizo Za Kawaida 6: Dressing Room Ya Mariah Carey - We Acha Tu . . . .

hiyo ndio life style ya ma celebrity karibia wote wa magharibi na ulaya...ukiangalia MTV utasikitika kabisa hapo bado nje angalia parking yake ndio utashangaa kama ni mpenzi wa porch and fancy cars..................wangeangalia africa tunavyokufa kwa kukosa aspirin duuu wangekuja hata kujenga zahanati.....au kutoa msaada wa kununua madawa.....hasa wamama na watoto

Acha wajinafasi tu ndugu yangu, hiyo misaada yenyewe tukiletewa inaishia kwenye matumbo ya wajanja wachache, huyo mama mjamzito na mtoto wa kijijini hakuna hata anaemkumbuka
 
acha wajinafasi tu ndugu yangu, hiyo misaada yenyewe tukiletewa inaishia kwenye matumbo ya wajanja wachache, huyo mama mjamzito na mtoto wa kijijini hakuna hata anaemkumbuka
nakuunga mguu ram asilimia mia na hamsini....
 
Duh. ama kweli kuwa na fedha kila kitu raha. Mpangilio tuu wa nyumbani unaleta raha. Nadhani ukiwa mjeni wake utaumia roho sana kwa kulinganisha na kwako.
 
Superman We acha tu, kuna watu wanaishi ulimwenguni na wengine duniani!..du!
Belinda usiogope,hayo yanawezekana just work hard on your dreams!Na sio lazima iwe kihiiivyooo kama ya Mariah ila inakuwa ya kivyeeetuuu wa-Tz.Go girl!
 
Hivi huyu ndio aliwahi kulalamika kuwa hajawahi kupendwa kwa dhati ila wanaume ni kama wanamtumia tu na kupita na njia!!!!?????
 
Tutasaidiwa mpaka lini? Mtu anatumia fedha zake mwingine analalamika eti bora angeuza ili aje atusaidie!
 
Back
Top Bottom