Picha zinatisha: Ukatili huu wa Polisi unatakiwa kupingwa

Kisha ukute Nina ndugu polisi nimtambulishe kama ndugu?. Hapana, huyo atakua alikuja na mama kwetu.
Sina, na sihitaji urafiki na polisi wa Tanzania.
Kwangu Mimi nimak**@ tu.
 
Jiwe ndio anawapa kiburi Pimbi hawa
photo8jpg.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukatili,uonevu, na unyanyasaji wa moja kwa moja huzaa kisasi dhidi ya mtendewa. Unaweza ona leo hana cha kufanya. Nikipima mambo hayo!! Mungu aepushie mbali, wengine tuna roho mbaya zisizo samehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom