Picha zinatisha; Huu ni ugonjwa gani?

Izo picha nishawahi kuziona zamani kwenye sinema katka kampeni za magonjwa ya ngono.... Izo ni miongoni mwa athar za magonjwa ya ngono has a ugonjwa unapokuwa sugu kwa kuchelewa Tina....
 
Huo ugonjwa nibalaaa wakuu
Uliuguaga
Huwezi kuelewa kwa haraka mpaka nngekuwa umepiga kashule kidogo ka meds all in all genital wart kwa mdada huyo picha ya chini na huyo mkaka unaweza kuwa syphills katika stage ya 1 kuelekea ya pili,maana stage ya 3 ya kaswede huwa ni kwenye neurone,kwa Dada matibabu ni kuziondoka through surgery au cream special poleni ngono zembe ni hatari
 
Hiyo ni Syphillis stage ya 3
Hiyo ni kaswende stage kubwa ya 3!
Baada ya hapo usipo pata tiba haraka itakimbilia kwenye ubongo na utakuwa chizi na hautapona tena!
Huko machimboni kwenye migodi kuna vichaa wengi sana sababu ya kaswende isiyopata matibabu
 
f334c05aeb727c582fc790cb4ec73465.jpg


Wakuu nimepitia maabara kupima mkojo nipewa majibu hayo hapo hili litakuwa ni tatizo gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom