Picha zilizopigwa na kutoa ujumbe tofauti na uliokusudiwa

Screenshot_20210502-140532.png
 
View attachment 1771029
Hii nilishaiposti sehemu. Jamaa aliyekua na nywele ndefu akaenda kunyoa na kurudi kukaa pale pale akiwa na nywele fupi ndani ya hotuba moja ya Obama
Hii nakataa jaaa hajaenda kunyoa bali kwenye picha ya kwanza alimziba huyo dada kwa namna ambayo alimziba uso tu (Perfect overlap japokuwa imetokea kwa bahati mbaya) na pia ikatokea kwa bahati kwamba shingo zao zimejijapanga kwa usahihi wa 100%.

Kama siyo photoshop basi Hii picha ndiyo imenipa tafsiri kamili ya huu uzi.

NAwasilisha
 
Hahaaa ndio mkuu. Ndo maana ya huu Uzi kama umeelewa hiyo Tuko pamoja

(nilipost hayo maneno as a joke)
 
Hii nakataa jaaa hajaenda kunyoa bali kwenye picha ya kwanza alimziba huyo dada kwa namna ambayo alimziba uso tu (Perfect overlap japokuwa imetokea kwa bahati mbaya) na pia ikatokea kwa bahati kwamba shingo zao zimejijapanga kwa usahihi wa 100%.

Kama siyo photoshop basi Hii picha ndiyo imenipa tafsiri kamili ya huu uzi.

NAwasilisha
True.

Angalia juu ya bega la kulia la jamaa picha ya kwanza utaona bega la dada limetokeza kidogo halafu bega hilo hilo la kulia la jamaa picha ya pili utaona bega la dada halipo kama mwanzo.

This means kwenye picha ya kwanza nywele sio za jamaa Bali na za huyo dada ambae unfortunately shingo yake na kichwa chake kimezibwa na jamaa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom