Picha zilizonivutia mimi hii leo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606"> WADAU WACHANGIA MADA KUHUSU CATEGORIES

</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
<!--ThumbBegin-->
1269087493_tanzania_music_awards.jpg
<!--ThumbEnd-->
..David Minja kutoka TBL akifafanua jambo kufuatia hoja zilizotolewa na wadau wakati wa kujadili categories na vigezo

<!--ThumbBegin-->
1269087493_tanzania_music_awards_5.jpg
<!--ThumbEnd-->
..Mpoki wa Orijino Komedi nae ni miongoni mwa wadau wa semina ya leo

<!--ThumbBegin-->
1269087493_tanzania_music_awards_3.jpg
<!--ThumbEnd-->
..Efraim Mafuru kutoka Vodacom, (kulia), wadau Hartman, Abdul Tall na Khadija Kalili kutoka Tanzania Daima

<!--ThumbBegin-->
1269087493_tanzania_music_awards_2.jpg
<!--ThumbEnd-->
...wadau wa muziki kutoka kushoto: Baucha wa Baucha Records, Mkallah Fundikira kutoka Royal Production na Raphael Chambo 'DJ Rachy' kutoka Club La casa Chika, Tanga.

<!--ThumbBegin-->
1269087493_tanzania_music_awards_4.jpg
<!--ThumbEnd-->
..ankal Michuzi (kushoto) akiwa na mdau Mboni Masimba ndani ya semina

PICHA: Abdallah Mrisho_Kunduchi/GPL​

</td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="61%">
</td> <td class="news1" align="right" width="39%">
</td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">
spacer.gif
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">
pix.gif
</td> </tr> </tbody></table> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

</td> <td width="606"> SEMINA NDANI YA KUNDUCHI BEACH HOTEL MCHANA HUU

</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
Mchana huu kunafanyika semina ya kuanza mchakato wa kuwatafuta wasanii bora wa muziki wa kizazi kipya na wasanii wengine wa Tanzania (Tanzania Music Awards 2010). zifuatazo ni baadhi ya picha za wadau wanaohudhuria semina hii:

<!--ThumbBegin-->
1269084322_img_6603.jpg
<!--ThumbEnd-->
Kunduchi Beach Hotel..langu kuu

<!--ThumbBegin-->
1269084322_img_6605.jpg
<!--ThumbEnd-->
...ndani ya ukumbi wa semina

<!--ThumbBegin-->
1269084322_img_6592.jpg
<!--ThumbEnd-->
..Frank Mtao (kulia) kutoka Two Eyez production

<!--ThumbBegin-->
1269084322_img_6593.jpg
<!--ThumbEnd-->
..Salma Msangi (kushoto) mtangazaji wa Channel ten

<!--ThumbBegin-->
1269084322_img_6595.jpg
<!--ThumbEnd-->
..watangazaji wa TV na Reddio ..Sauda Mwilima (kushoto), Maimartha Jesse (kulia), Dina Marios (kushoto mwa Sauda).

<!--ThumbBegin-->
1269084322_img_6597.jpg
<!--ThumbEnd-->
..Dotnata (kushoto) na Dina wakipeana michapo..

<!--ThumbBegin-->
1269084322_img_6607.jpg
<!--ThumbEnd-->
..Matangazaji wa Clouds FM B12(kushoto) na Luca, kutoka mtandao na jarida la Bongo5

<!--ThumbBegin-->
1269084322_img_6600.jpg
<!--ThumbEnd-->
...Mtangazaji wa Radio One, Millard Ayo (kushoto), Sauda na Dotnata


</td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="61%">

</td> <td class="news1" align="right" width="39%">| </td> </tr> <tr> <td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">
spacer.gif
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td height="1">
pix.gif
</td> </tr> </tbody></table> <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td height="1">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

</td> <td width="606"> KIDUMU APAGAWISHA MASHABIKI SUN CIRRO CLUB

</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Burundi ambaye zaidi shughuli zake za muziki anazifanyia nchini Kenya, Amosozi V’urukundo ‘Kidumu’ usiku wa kuamkia leo alifanya makamuzi ya hatari ndani ya Club Sun Cirro ya jijini Dar es Salaam na kuwapagawisha vilivyo mashabiki waliofurika ukumbini hapo. Kidumu yupo nchini tangu jana na aliletwa Bongo kwa udhamini wa Hartman Production na EATV.

<!--ThumbBegin-->
1269074970_1.jpg
<!--ThumbEnd-->
Kidumu akifanya makamuzi yake ndani ya Club Sun Cirro usiku wa kuamkia leo.

<!--ThumbBegin-->
1269074970_2.jpg
<!--ThumbEnd-->
Baadhi ya waimbaji wake wakionesha uwezo wa kukata nyonga katika onesho hilo.

<!--ThumbBegin-->
1269074970_3.jpg
<!--ThumbEnd-->
Mmoja kati ya mashabiki ‘waliotia maguu’ ukumbini hapo akipewa mic na Kidumu ili ajaribu kuimba wimbo wowote anaoufahamu.

<!--ThumbBegin-->
1269074970_5.jpg
<!--ThumbEnd-->
Baadhi ya Mashabiki waliohudhuria shoo hiyo wakichizika kwa burudani zilizokuwa zikitolewa na msanii huyo.

<!--ThumbBegin-->
1269074970_6.jpg
<!--ThumbEnd-->
Kidumu akipiga drum kwa utaalamu wa hali ya juu huku akiimba,kitu kilichozidi ‘kuwamaliza’ mashabiki wake.

</td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table style="width: 502px; height: 37px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="61%">
</td><td class="news1" align="right" width="39%">
</td></tr><tr><td colspan="2" align="left" bgcolor="#dba67c">
</td></tr></tbody></table></td></tr><tr><td height="1">
</td></tr></tbody></table><object classid="clsid<img src=" images="" smilies="" biggrin.gif="" alt="" title="Big Grin" smilieid="3" class="inlineimg" border="0"></object><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td style="vertical-align: top;">
</td></tr><tr><td height="1">
</td></tr><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">

</td> <td width="606"> DAR KILA SIKU SIKUKUU

</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
<!--ThumbBegin-->
1269071731_1.jpg
<!--ThumbEnd-->
Wakazi hawa wa jiji la Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wamenaswa na kamera yetu wakiserebuka katika onesho la Bendi ya Akudo Impact, lililofanyika katika Ukumbi wa Mango Garden uliopo Kinondoni, jijini Dar kama vile wako kwenye sikukuu.

ZE BINGWA NA KIBEGI CHA MTOTO JUKWAANI
<!--ThumbBegin-->
1269071731_2.jpg
<!--ThumbEnd-->
Rapa wa Bendi ya Akudo Impact, Totoo Ze Bingwa usiku wa kuamkia leo amenaswa na kamera yetu akipanda jukwaani na kibegi cha mtoto, staili ambayo ilipondwa na baadhi ya mashabiki na kusema huo ni ‘ubishoo’ usio na maana kwani atachakaza kibegi cha shule cha mtoto. Ishu hiyo ilikuwa ni ndani ya ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni kwenye onesho la Akudo.

BABA’AKE UTAIBWA
<!--ThumbBegin-->
1269071731_3.jpg
<!--ThumbEnd-->
Njemba huyu alinaswa akiwa ameutandika usingizi wa pono kwenye kiti alichokuwa amekalia, katika onesho la Akudo lililofanyika usiku wa kuamkia leo.​

</td></tr></tbody></table>
 
mkuu umenidhalilisha, aliliye lala kwenye kiti ni mimi! I will definetly sue you for that.
 
Back
Top Bottom