Picha: Ziara ya Kinana Geita

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi leseni za wachimbaji wadogo machimbo ya Mugusu, Geita, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mkoani Geita. Jumla ya leseni 21 zilikabidhiwa kwa wachimbaji hao baada ya kutolewa na serikali ili kuwwezesha wachimbaji wadogo nao kunufaika na m,adini badala ya wachimbaji wakubwa tu.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizindua shina la wakereketwa wa CCM la wajasiriamali watengeneza fenicha katika mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, jana. Nape aliwapa pia ,msaada wa sh. milioni moja kwa ajili ya wajasiriamali hao kukuza shughuli zao.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtuza msanii, Kasim Magembe, baada ya kuridhishwa na uhodari wake alipotumbuiza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika uwanja wa Mpira, Geita leo

Nape Nnauye ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na Machinga wa Katoro Geita
 
Attachments

  • kinana.jpg
    kinana.jpg
    40.9 KB · Views: 143
[h=2][/h]

msaada tutani.....kiongozi wa chama kukabidhi leseni? or is it me???
 
Mh vp kwani mlikua hamna mkutano wa hadhara au ndo mnaogopa zomeazomea ys mtwara na sumbawanga

Ulikuwepo huoni Mh anacheza na kutuza ; vaa miwani usitusumbue bure
 
[h=2][/h]

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi leseni za wachimbaji wadogo machimbo ya Mugusu, Geita, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mkoani Geita. Jumla ya leseni 21 zilikabidhiwa kwa wachimbaji hao baada ya kutolewa na serikali ili kuwwezesha wachimbaji wadogo nao kunufaika na m,adini badala ya wachimbaji wakubwa tu.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizindua shina la wakereketwa wa CCM la wajasiriamali watengeneza fenicha katika mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, jana. Nape aliwapa pia ,msaada wa sh. milioni moja kwa ajili ya wajasiriamali hao kukuza shughuli zao.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtuza msanii, Kasim Magembe, baada ya kuridhishwa na uhodari wake alipotumbuiza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika uwanja wa Mpira, Geita leo

Nape Nnauye ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na Machinga wa Katoro Geita

Machinga wamewachoka wanasalimiwa wamekaa, ingekua people power ungeshangaa moto wake.
 
Hoa wakeleketwa wajasiliamali wachovyu kweli? Wanamuita Nape Mhe, wapi na wapi. Na huyo katibu mkuu wa chama naye kachemka kweli kweli kukataza viongozi wa chama cha magamba wasiitwe waheshimiwa eti waitwe ndg. Sijui hajui kwamba kuitwa Mheshimiwa ni Suala la kisheria, Kwa mujibu wa sheria hiyo Majaji wote na mahakimu wote pamoja na Viongozi wote wa kuchaguliwa na wananchi na wabunge wa kuteuliwa na wa viti maalumu isipokuwa wenyeviti wa mitaa tu, kwa mujibu wa sheria hiyo wanatakiwa waitwe waheshimiwa na usipo muita hivyo akiwa sehemu yake rasmi ni uvunjaji wa sheria. Sasa huyu katibu mkuu alikurupuku kukataza watu wasiitwe hivyo wakati sheria haijabadilishwa sasa hao wabunge wa ccm wasiitwe waheshimiwa wakati sheria inaruhusu. Angetakiwa akataze watu kama akina napi wasiitwe waheshimiwa kwa sababu hawastahili hata kwa muibu wa sheria. Ningeshauri sheria hiyo ibadilishwe viongozi wote wa kuteuliwa na wananchi watolewe kwenye kundi hili la uheshimiwa
 
msaada tutani.....kiongozi wa chama kukabidhi leseni? or is it me???

Hii ni kutokana na kutokuwa na mipaka na taratibu za uongozi zilizoanishwa katika sheria ya nchi.

Kama sheria inasema hivyo (siamini kama ipo) siyo vibaya lakini kwa nini serikali isiwaruhusu na viongozi wa vyama vingine ya siasa kufanya hivyo.
 
Machinga wamewachoka wanasalimiwa wamekaa, ingekua people power ungeshangaa moto wake.

kwa kuwa viongozi wenu wanapenda usultani na umungu mtu,sisi tunawaheshimu hawa ndio waliotuajiri kwa kutupa kura zao,so lazima tujinyenyekeze kwao,ccm wapiga kura ndio mabosi,hivyo kwa mabosi kukaa wakati mtumishi wao anawasalimia poa tu,usultani wenu ndio unaofanya wananchi wawakatae,wanajiona hawako connected na nyie
 
Ha ha ha ha CCM kazi kweli kweli,naona kazi za waziri wa nishati na madini zimeingiliwa na chama kimechukua hatamu,viongozi hawajui hata wanachokifanya,wanachojali wao ni kutaka sifa ambazo ukizitafakari unaona ni za kijinga kabisa.
 
NAFARIJKA SANA,TENA SANA KWANI NAZIONA DALILI ZA WAZI WAZI ZA KIFO CHA WAHUJUM UCHUMI WA NCHI YANGU

MUNGU WAFISHE MAPEMA HATA KABLA YA 2015 HAWA CCM

:amen:
 
Ulikuwepo huoni Mh anacheza na kutuza ; vaa miwani usitusumbue bure

naambiwa watu walikuwa kiduchu wengi walikuja kwa mabasi ya mwenyekiti wa mkoa aitwae msukuma na watumishi ndio maana anaona style ya picha zilivyopigwa ....watu walifuata ngoma namziki tu hapakuwa na jipya ni ahadi tu .....yaani hata mkutano wa diwani sio hivyo
 
Back
Top Bottom