Picha zenye kubeba maana kubwa, weka picha tuitafsiri

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,440
2,692
Uzi maalum wa picha zenye kubeba maana. Weka picha, quote picha ipe caption kwa jinsi ulivyoielewa.

Twende kazi

Screenshot_20210621_070438.jpg
 
Teknolojia imeathiri maisha yetu ya kila siku na kufanya tupoteze umoja wetu na kutokujali mazingira yetu pia.
Mr. Purpose:

Sawa kabisa simu imebeba mitandao ya kijamii ambayo ndiyo teknolojia yenyewe.

Huyo mdudu ni mweusi watu gani wameathirika matumizi mabaya ya Teknolojia zaidi ya Afrika.

Au huyo mdudu awakilishi nchi zinazoendelea?🤔
 
Back
Top Bottom