Picha: Zari, Diamond wakiwa UK

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,375
Mmh!! Domo na mama tukinao mbona mnapa tununu presha hivi? Juzi tu hapa mwenzenu maralia ilimpanda kichwani, sasa hivi naona itahamia kwenye makalio, maana sio kwa kumrusha roho huko, Mara South, Mara London, wakati mwenzenu ata haijui London inafananaje mfyuu

Na wewe tununu ulizidi kujishaua mno kipindi kile domo kakubali mtoto ukajiona wewe ndo keki wenzio wote mavi, ndo ujifunze kuparamia Mali za watu, mtu mzuri kwa nini usitafute wako ukawa na amani, ona unavyorushwa roho mpaka maralia zinakupanda kichwani, kupenda vya watu kumekutokea puani, domo anakuona kama dust bin, nasikia hyo mtoto hana habare nae, tununu mwaka wako huu
1f1880698f789d451039ce15b9a556de.jpg
 
Mwee chuchunge kabaki anaturushia madongo kupitia mtoto
23348216_1913652992295080_5057552302911520768_n.jpg
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom