Beki wa Zanzibar, Aggrey Morris akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili kwa penalti, Uwanja wa Mandela, Namboole katika Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge usiku wa leo. Zanzibar ilifungwa kwa penalti 4-2 na sasa itamenyana na Bara katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu Jumamosi.
Khamis Mcha 'Vialli' akishangilia baada ya kuifungia Zanzibar bao la kwanza
Adeyom Saleh Ahmed akimtoka beki wa Kenya, Joackins Atudo
Nadir Cannavaro ameruka na kipa wa Kenya
Mcha anapasua ukuta wa Kenya
Mcha Vialli kamlamba mtu chenga, kamuacha chini anaambaa
Suleiman Kassim 'Selembe' akipasua katikati ya msitu wa wachezaji wa Kenya
Kocha wa makipa wa Zanzibar, Farouk Ramadhan akimpa maelekezo kabla ya mechi kipa Mwadini Ally
Kikosi cha Zanzibar leo
Kikosi cha Kenya leo
Wachezaji wa Zanzibar wakiwa wametahayari baada ya kufungwa bao la pili la kusawazisha
Mike Barasa wa pili kutoka kulia akishangilia bao lake la pili
Zanzibar wakisujudu baada ya kufunga bao la kwanza
Kipa kaenda kulia, penalti ya Aggrey imetinga kushoto
Aggrey akiwaongoza wenzake baada ya kufunga bao la pili
Acheni ujinsia. Kufa ni kufa hakuna cha kufa kiume au kike. Tubadilikeni jamani. Ni wanaume wangapi wanazidiwa na wanawake tena kwa mengi? Hivi leo unaweza kumlinganisha mfano mama Clinton na mtu kama Tyson? Je waweza kumlinganisha Michelle Obama na kaka yake aliyejitambulisha kuwa ni mwalimu wa michezo? Si rahisi kumlinganisha Anna Tibaijuka na Dodorous Kamala yule bingwa wa kughushi ingawa wote ni nshomile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.