PICHA: ZANZIBAR NA BURUNDI KATIKA PICHA LEO KAMPALA; Z'BAR yatinga NUSU FAINALI

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225


Mfungaji wa penalti ya mwisho na ya ushindi ya Zanzibar, Abdallah Othman akikimbia kushangiloia baada ya kumaliza mechi ya Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge dhidi ya Burundi kwenye Uwanja wa Lugogo mjini Kampala, Uganda, Zanzibar ilishinda kwa penalti 6-5 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.


Ndikumana chini, shughuli ya Issa Othman Ally kushoto


Aggrey Moris akimdhibiti mshambuliaji wa Burundi


Suleiman Kassim Selembe kulia anakokota ngoma


Abdulaghan Gullam akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Burundi


Aggrey Morris anapanda kusaidia mashambulizi baada ya kuokoa


Selembe anapasua katikati ya watu


Issa Othman Ally anaondoka na mpira mbele ya wachezaji wa Burundi


Jaku Juma akipambana na beki wa Burundi


Ndikumana akijuta baada ya kukosa penalti


Balozi wa Tanzania nchini Ugamda, kulia akimpongeza kocha wa Zanzibar


Wachezaji wa Zanzibar wakimpongeza Abdallah Othman


Wachezaji wa Zanzibar na baadhi ya viongozi wakimpongeza Abdallah Othman katikati aliyesujudu
 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Jezi za Z'BAR pia NZURI... HAYA ni Z'BAR v/s TANGANYIKA... OH wow kAZI IPO NUSU FAINALI...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom