Picha za xxxxx video zina uhalisia kwa kiasi gani, au ni kutupotosha tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za xxxxx video zina uhalisia kwa kiasi gani, au ni kutupotosha tu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dumelambegu, Feb 11, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wazee wapenzi wa majambozi,
  Wengi wenu lazima ni mashabiki wa picha za video za kikubwa. Nami nyakati fulanifulani nimekuwa nikisafisha macho. Sasa kinachonistaajabisha ni staili na aina ya michezo inayofanyika humo. Wakati mwingine huwa naona hata kinyaa. Utaona mtu anapeleka eneo la kupitisha nani halafu akitoka hapo bila hata kuosha anapeleka mahali pa kutafunia chakula. Imefika mahali ninajiuliza, hivi kuna uhalisia gani wa hicho tunachokiona au ni danganya toto na uporoshaji wenye lengo la kuharibu utamaduni wetu mzuri wa kujiheshimu?? Wataalam wa mambo ya computer watuhabarishe isije ikawa ni programs tu zinachezewa kutimiza malengo fulani.
   
 2. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kua uone mtoto, kua uone......we bado mdogo inaelekea...kwa sasa rudi ukasome, usije pata 0 bure....ukimaliza shule uliza tena swali lako kama hujapata jibu bado.
   
 3. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hilo jina na maswali yako haviendani endani vile!
   
Loading...