nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
UCHAGUZI IGUNGA:TUME YA UCHAGUZI YAPITISHA WAGOMBEA WANANE
Wednesday, September 07, 2011 0 Comment
umepata wapi hizo fomu orijino, au wewe ndiyo msimamizi wa uchaguzi, kama siyo umepata wapi!
Usije kushangaa ndizo zenyewe hizo,labda hakumbuki tarehe ya kuzaliwahuyu kakubaliwa kuwa mgombea? mbona form yake haijakamilika? haina tarehe ya kuzaliwa,
au hiyo sio muhimu?
waliopo IGUNGA au mleta mada hii form ndiyo iliyotumika au ni mfano?
kama ndiyo basi msimamizi wa uchaguzi hayuko makini kuna uwezekano mkubwa CCM kuchukua kula za wengine
kama hakuweza kuona kuna tatizo hapo,
kazi hipo
<br />Usije kushangaa ndizo zenyewe hizo,labda hakumbuki tarehe ya kuzaliwa
Ndio maana Roasta aliweza gombea ubunge na akapata japo alizaliwa Irani nadhaniTanganyika sio lazima uzaliwe huko ili ugombee Ubunge... It is a free country - GOD BLESS JK Nyerere
Na pia Unajua Wazee wetu kama walikuwa wanafanya kazi serikalini au kwenye makampuni ya serikali walikuwa wanasafiri kila Mahala
Mimi Mwenyewe sijui kuongea kabila la Mama yangu najua Kuongea kabila la nilikukulia wakati wa Primary School