Picha za wagombea wanane waliopitiwshwa igunga na sehemu walikozaliwa

umepata wapi hizo fomu orijino, au wewe ndiyo msimamizi wa uchaguzi, kama siyo umepata wapi!
 
Hapa kuna hadi Mkapa, speaker wa bunge, au Said Mwema au Pinda tena wote wakiwa wanashabikia mageuzi nchini? Hii ndo JF where we dare to talk openly. Kuna siku watu watabandika hadi maongezi ya kulazimisha kubadili matokeo.
 
huyu kakubaliwa kuwa mgombea? mbona form yake haijakamilika? haina tarehe ya kuzaliwa,
au hiyo sio muhimu?
waliopo IGUNGA au mleta mada hii form ndiyo iliyotumika au ni mfano?

kama ndiyo basi msimamizi wa uchaguzi hayuko makini kuna uwezekano mkubwa CCM kuchukua kula za wengine
kama hakuweza kuona kuna tatizo hapo,
kazi hipo
 
Usije kushangaa ndizo zenyewe hizo,labda hakumbuki tarehe ya kuzaliwa
 
Tanganyika sio lazima uzaliwe huko ili ugombee Ubunge... It is a free country - GOD BLESS JK Nyerere

Na pia Unajua Wazee wetu kama walikuwa wanafanya kazi serikalini au kwenye makampuni ya serikali walikuwa wanasafiri kila Mahala

Mimi Mwenyewe sijui kuongea kabila la Mama yangu najua Kuongea kabila la nilikukulia wakati wa Primary School
 
Ndio maana Roasta aliweza gombea ubunge na akapata japo alizaliwa Irani nadhani
 
Back
Top Bottom