Picha za wabunge wa CHADEMA

Wale wa viti maalum hawapigwi picha na kuwekwa kwenye website? Sijawaona kwenye orodha!
 
Akhsante sana ngugu maana ni vizuri kuwajua waheshimiwa wetu wote, kuna siku mwaka 2006 nilimpandishia mama mmoja baada ya kunichomekea na gari yake bwana, sasa wakati nampa kubwa jamaa mmoja akaniambia huyo ni muheshimiwa niachane naye, nilinywea sana nikawa mdogo kama sisimizi. kwa hiyo ni vizuri tukawafahamu kwa sura hawa waheshimiwa wetu
 
Back
Top Bottom