PICHA za uzinduzi wa Airtel JK ndani........

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    40.5 KB · Views: 487
  • 32.jpg
    32.jpg
    77 KB · Views: 508
  • 36.jpg
    36.jpg
    45.1 KB · Views: 480
  • 48.jpg
    48.jpg
    26.4 KB · Views: 489
  • 29.jpg
    29.jpg
    38.8 KB · Views: 488
  • 24.jpg
    24.jpg
    91.7 KB · Views: 113
  • 9.jpg
    9.jpg
    62.3 KB · Views: 503
Huyu Mkwere ameanza kwa kwenda ngomani? B.S, anacha kutengeneza baraza la mawaziri anakwenda kwenye muziki?
Kweli waliomchagua ni sawa na yeye tu.
 
Mhh Ruge Mutahaba ndani ya Nyumba, kazi ipo:embarrassed::embarrassed:
 
Hivi jamani naomba kuabarishwa...mara ya mwisho habari niliyoisikia kutoka kwa matamko ya viongozi wetu kuhusu kuuzwa kwa ZAIN ni kwamba kulikuwa na ukiukwaji haki ya serikali kama mmoja wa wabia wakuu. Je suala hili limieishia wapi?
 
Mungu wangu Ruge naye yupo, poleni wasanii waTZ, JK kakamamatwa naye , na sasa Ruge ana haki ya kusema yeye ndio kachangia kumweka JK madarakani, maana Chegge , Temba, Diamond na wasanii kibao yeye ndio kajitolea ile fiesta ya kampeni na zile sms , sasa hapo miaka mitano ya uchungu,unyonywaji na mateso kwa wasanii wa Tanzania , inavyo onekana JK hata mwacha kakumpa shukurani. Kazi ipo wasanii.

Nawashauri wasanii, tuhakikishe Raisi anaye kuja baada ya miaka mitano kuwepo na msisitizo wa kumjulisha matatizo na hatari ya watu kama kina Ruge ,zifanyike jitihada mapema ili kuweza kumdhibiti, maana hawa wazee kama kina JK sio rahisi kumjua vizuri wao wataona kuwa Kijana anafanya kazi nzuri ya kukuza vipaji (THT) na mengine wakati ukweli halisi haujui.
 
Back
Top Bottom