Picha za utupu zamfukuzisha msanii ‘Rayuu’ kwao, hivi sasa anaishi kwa ‘Mr Chuzi’…!

Kama leo nilikua na angalia planet bongo dah uyo nuru the ligth duh chupi nje nje sasa sijui ana maanagani.?
 
Sasa kama mtoto "role model" wake ni WEMA na AUNT unategemea nini ? Any way,hao wazazi wafikirie mara mbili, sasa wanamfukuza nyumbani anaenda kwa BABU CHUZI, kitakachoendelea hapo ni mimba in mimba out wasicheze na babu Chuzi, Wamchukue mtoto na wamfunde upya nina imani anaweza kurekebika.
 
uyo binti mwenyewe simuelew kati ya watu wote ameona chuzi ndio amuifaz,wakati chuzi playboy,mchumba wake alivyokimbia akawa anatoka na mfanyakaz wake wa ndani house girl,sasa hiv amempiga chini anasema yuko single,naye amejipeleka apo
 
Back
Top Bottom