Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

Tatizo huyu Mtoto analewa sifa za mashabiki wake ambao hawamwambii ukweli..
Kazi kumsifia ujinga tu mwishowe anajiona yeye Mtoto wa miaka 18-24..
Mtu anazeeka na sura unaiona kabisa.
Ntakuja kumuamini siku akivaa swimming coast!
 
Yani kila kitu hapo ni artificial siku akiamuwa kuwa natural watu watamkataa, hakuna wigi (mvi zitaonekana), hakuna makeup makunyanzi kibao, hakuna nysi za bandia...., hakuna hipsi za bandia........., hakuna tanganyika jeki.....??
 
Na hivi alivyohamia Chadema ndio makamanda wanamsifiaa utafikiri hakuna mwanamke mwingine hapa Tz.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom