Picha za simu

Chizoba_CzB

Member
Dec 13, 2019
86
98
Ni matumaini yangu uko salama na mzima wa afya na kama sio mzima wa afya basi Mungu wangu akulinde na akujulie afya njema .
Tumwombe Mungu atuepushe na hili janga la corona,tuwaombee wagonjwa na waliotangulia mbele za haki.

Leo piaa Ndugu zangu nimependa kushare picha za simu picha hizi nimepiga kwa simu na editing zimefanyika kwa simu pia.
Napiga picha za simu ndio hobby yangu baada ya majukumu yangu ya kazi zingine basi napenda kwenda location na kupiga picha.

Simu ninayotumiaa ni Samsung S6 edge Plus na apps ninazotumia katika editing ni Picart,Lr,Snapseed,Shotogrid,Toolwiz na Vsco.

So Karibu sana nakaribisha comments,likes,kama utapenda tujifunze wote unaweza nicheki tu karibu sana tupeane ujuzi.

PhotoGrid_1590653990185.jpeg
PhotoGrid_1590654960040.jpeg
PhotoGrid_1590519036710.jpeg
PhotoGrid_1590430076295.jpeg
PhotoGrid_1590253062382.jpeg
PhotoGrid_1590073974036.jpeg
PhotoGrid_1589718192610.jpeg
PhotoGrid_1589707429861.jpeg
PhotoGrid_1589628351508.jpeg
PhotoGrid_1590677148610.jpeg
PhotoGrid_1584207588257.jpeg
PhotoGrid_1588344760596.jpeg
PhotoGrid_1590148641698.jpeg
PhotoGrid_1588269887589.jpeg
PhotoGrid_1588344729285.jpeg
PhotoGrid_1588344729285.jpeg
 

Attachments

  • PhotoGrid_1589894048369.jpeg
    PhotoGrid_1589894048369.jpeg
    52.6 KB · Views: 3
Mkuu nisaidie kujua unatumia app gani kufanya editing na kuweka hizo signature.

Natumia hizi high end ila ni mshamba sana kwenye hayo mambo.

Naona umetumia s6 kufanya editing kali mimi nina note 10 plus hapa hayo siyajui.

Natanguliza shukrani.
 
Soma hapo mwanzo.mkuu nmeeleza kila kitu simu ninayotumia na apps zote ninazotumia
Mkuu nisaidie kujua unatumia app gani kufanya editing na kuweka hizo signature.

Natumia hizi high end ila ni mshamba sana kwenye hayo mambo.

Naona umetumia s6 kufanya editing kali mimi nina note 10 plus hapa hayo siyajui.

Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom