Chizoba_CzB
Member
- Dec 13, 2019
- 86
- 98
Ni matumaini yangu uko salama na mzima wa afya na kama sio mzima wa afya basi Mungu wangu akulinde na akujulie afya njema .
Tumwombe Mungu atuepushe na hili janga la corona,tuwaombee wagonjwa na waliotangulia mbele za haki.
Leo piaa Ndugu zangu nimependa kushare picha za simu picha hizi nimepiga kwa simu na editing zimefanyika kwa simu pia.
Napiga picha za simu ndio hobby yangu baada ya majukumu yangu ya kazi zingine basi napenda kwenda location na kupiga picha.
Simu ninayotumiaa ni Samsung S6 edge Plus na apps ninazotumia katika editing ni Picart,Lr,Snapseed,Shotogrid,Toolwiz na Vsco.
So Karibu sana nakaribisha comments,likes,kama utapenda tujifunze wote unaweza nicheki tu karibu sana tupeane ujuzi.