Picha za Simba anayekufa kutokana na ujangili Tanzania zashtua Dunia.

Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi ya kulinda wanyama kwenye mbuga zetu zidi ya majangili sio kukaa makambini tu na kuota vitambi vya bia na nyamachoma.
Kuwa mwanajeshi na Kufahamu matumizi ya bunduki maana yake siyo kufahamu ulinzi wa Wanyamapori.
 
Huyo jamaa aliyefanya shooting aliona ni busara kupata taarifa ya kuuza yenye kumpatia umaarufu lakini hakuona ni busara kureport kwa relevant authorities ili wa take charge ya kumuokoa huyo simba??!

That is the best they saw in our national parks??!


Nashindwa kupata picha kwa huyu mtu aliyefanya hii shooting. Maana alikuwa anafuatilia hatua kwa hatua hadi kifo cha Simba huyu.

Kwa nini hakutoa taarifa ili kunusuru maisha ya mnyama huyu????

Bado ........Loading Network...........

Huenda hii picha siyo ya Mikumi isipokuwa kuna watu au kikundi kinataka kuiharibia sifa mbuga zetu na idara husika. Sababu kama huyu mnyama yupo mbugani na wahudumu wa mbuga hawakumuona hadi kufikia hatua hii... ni balaa...

Je huyu mtu aliruhusiwa vipi na wahusika wa mbuga kumuachia kila mara kuingia mbugani kufuatilia maisha ya mnyama huyu, huenda mtu huyu ndiye aliyehusika na kumfunga waya mnyama huyu.

Serikali imtafute na kumshitaki!!!!!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom