picha za sherehe ya uhuru zinaongea zenyewe kabla ya siku yenyewe.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

picha za sherehe ya uhuru zinaongea zenyewe kabla ya siku yenyewe..

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Dec 8, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Vifaa vya Kivita vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) vikiwa katika mazoezi ya maandalizi ya sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana. Sherehe hizo zinafikia Kilele cheke kesho ambapo shughuli zote zitafanyika katika Uwanja huo wa Uhuru ambapo sherehe za mkesha wa sherehe hizo zitaanza leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mgeni rasmi akiwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.[​IMG]
  Magari ya Kivita na Vifaa vya kivita yakipita mbele ya jukwaa Kuu wakati wa mazoezi ya Wanajwtz.
  [​IMG]
  Kila aina ya gari la Kivita lilipita wakati wa mazoezi hayo.
  [​IMG]
  Vijana wa Scout wakiwa katika mazoezi ya maandalizi ya sherehe hiyo kwenye Uwanja huo huo wa Uhuru.
  [​IMG]
  Mazoezi yanaendelea uwanjani hapo.
  [​IMG]
  Ni mazoezi ya vijana hao Chipukizi wakijifua na mazoezi ya silaha. Kesho ndo utakuwa mziki mnene.mia
   
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tulikotoka ni mbali ni Mungu kavfikisha tulipo na tunakoenda atatuwezesha,natumai ntapata muda wa kuangalia tv
   
 3. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Kesho huko hakufai,TBC Naamini mtatuhabarisha powa,
   
 4. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Na hii ya kuanza kufundisha watoto wadogo "guerrilla warfare'' imeanza lini nchini mwetu? This is not a proper way of raising our kids. Njia bora ilikuwa kuwapa mazoez ya viungo tu na wala sio kuwashikisha vifaa kama hivi.
   
 5. M Mahona

  M Mahona Senior Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chokoza nyuki uone
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  HIyo Nguvu itatumika kuiondoa DHALIMU CCM madarakani
   
 7. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Yaonyesha Sherehe itakuwa nzuri. Ndo raha ya kuwa na kulu mpenda sherehe na maadhimisho
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  huko usalama ni A[SUP]+ [/SUP] alshabab kama hawajipendi waje waone
   
 9. King2

  King2 JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Non sense
   
 10. King2

  King2 JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu R.c anaonekana hamnazo.
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Jamaa walianza kulifanyia promo hili li-sherehe mapema sana..walijua litadoda...pumbavu!!
   
 12. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  una akili sana wewe....ulijuaje!?
  Bila promo na kulipa watu posho hakuna atakaekwenda, labda vibaka.
   
 13. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #13
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Leteni na picha za vijijini wanasherekeaji 50yrs
  je hospitalini?
  Shuleni, kwenye vyuo?
   
 14. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #14
  Dec 9, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Magari yenyewe IVECO yaliyonunuliwa mitumba? Yasije yakalipuka tu mbele ya Mheshimiwa Dr. Dr. Dr..........
   
Loading...