Picha za Sheikh Alhad Mussa na makada wa CCM zinatoa tafsiri gani? BAKWATA toeni ufafanuzi

Status
Not open for further replies.

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
502
938
Sheikh Mkuu wa Bakwata akiwa na Mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Bwana Mtulia

Nawaomba Bakwata au yeye mwenyewe Bwana Alhad Mussa Salim atoe ufafanuzi.

NB: Bwana Alhad Mussa Salim hivi majuzi alitoa onyo kwa viongozi wa dini kuacha kuingilia mambo ya kisiasa.

FB_IMG_1517727472717.jpg

Sheikh.jpg

FB_IMG_1517883873397.jpg

fb_img_1517843666582.jpg

Huyu ndie yule kiongozi wa kidini anaitwa Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar aliyewaonya viongozi wengine wa dini wasichanganye dini na siasa...

Picha ya kwanza: Hapa yupo na mgombea wa CCM bwana Mtulia..... Kumbuka kampeni zinaendelea Kinondoni.

Picha ya pili akishiriki vikao vya ccm siku za nyuma huko, na hili tuliwahi kuonya tukaonekana si chochote...

IMG_20180204_094327_892.jpg
SHEIKH ALHADDY MUSSA.jpg
 
Huyu ndie yule kiongozi wa kidini anaitwa Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar aliyewaonya viongozi wengine wa dini wasichanganye dini na siasa...

Picha ya kwanza: Hapa yupo na mgombea wa CCM bwana Mtulia..... Kumbuka kampeni zinaendelea Kinondoni.

Picha ya pili akishiriki vikao vya ccm siku za nyuma huko, na hili tuliwahi kuonya tukaonekana si chochote...

View attachment 690171 View attachment 690172
Ukiona hivyo ujuwe kapewa rushwa, rushwa hupofua na kutia uziwi
 
Sheikh Mkuu wa Bakwata akiwa na Mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Bwana Mtulia

Nawaomba Bakwata au yeye mwenyewe Bwana Alhad Mussa Salim atoe ufafanuzi.

NB: Bwana Alhad Mussa Salim hivi majuzi alitoa onyo kwa viongozi wa dini kuacha kuingilia mambo ya kisiasa.View attachment 690170 View attachment 690170

Ninachojua tu ni kwamba Viongozi karibia wote wa Dini zetu ( Wakristo na Waislamu ) ukijumlisha na Madhehebu yake yapo mfukoni mwa Mtawala Mkuu mwenye Chama chake Kikuu. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Sheikh Mkuu wa Bakwata akiwa na Mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Bwana Mtulia

Nawaomba Bakwata au yeye mwenyewe Bwana Alhad Mussa Salim atoe ufafanuzi.

NB: Bwana Alhad Mussa Salim hivi majuzi alitoa onyo kwa viongozi wa dini kuacha kuingilia mambo ya kisiasa.View attachment 690170 View attachment 690170
Angekuwa kakaa na makamanda uraia wake ungehojiwa, TRA wangemfata kuhesabu "zaka". Eti ndio uzalendo "mpya"
 
Sheikh Mkuu wa Bakwata akiwa na Mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Bwana Mtulia

Nawaomba Bakwata au yeye mwenyewe Bwana Alhad Mussa Salim atoe ufafanuzi.

NB: Bwana Alhad Mussa Salim hivi majuzi alitoa onyo kwa viongozi wa dini kuacha kuingilia mambo ya kisiasa.View attachment 690170 View attachment 690170
Ni unafiki tu unamsumbua, njaa tupu inamsumbua, ona wanakula kwa mama ntilie
 
Kuna jambo sijalielewa ama!!!

Hapo ni wapi?

Nani mgeni nani mwenyeji?

Ni tukio gani haswa hilo lenye kuchagizwa na chakula?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom