Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Picha za msanii wa Bongo flava Ney Wa Mitego mwenye maneno ya shombo kwa wasanii wenzake kuhusu ukahaba wa wasanii wa bongo movie zimenaswa mtandaoni akiwa amepozi kimahaba na msanii wa bongo movie Nisha.
Ney ameonaka kama mtu ambae anafichua maovu mengi ya tabia za ukahaba wa wasanii wa tasnia ya filamu angalia yeye ndiye mteja mkuu wa makahaba hao kwa mujibu wa kauli yake kuwa makahaba wenye viwango wako bongo movie.
Ney na Nisha wamewahi kukanusha mara kadhaa kuhusu uhusiano wao na leo mambo yamekuwa hadharani.